Naloli
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 416
- 81
jamaa alikuwa clouds fm ,leo ktk kipindi cha xxl akajishebedua kusema kuwa (SUGU mbunge wa mbeya ananilambia demu wangu)very weak move for him,publicit nyengine bwana ,jamaa kachemka kwenda ktk media ,nadhani ni mpango wa kumwalibia mr 2.,tusubili tuone
Clouds fm awakuwahi kumjenga SUGU siku zote wao ni kumuaribia ndio maana huyo dogo kakimbilia redio hiyo. Haya mambo yana taka uthibitisho na si kupayuka na kuchafuliana majina. Lakini SUGU sasa ni muheshimiwa hivyo ategemee madongo mengi zaidi ya hayo kutoka kwa wabaya na wapinzani wake. Cha muhimu awe makini na mambo yake na SHYROSE ajifunze kuchakachua vijiserengeti boy, Kakionjesha kikang'ang'ana kutaka kuchonga mzinga, kakitosa kimeanza kupiga yowe.
WEEEE JAFFARAI MIAKA NANE BILA NDOA WALA MTOTO, yaani ulikuwa ujastuka tu kuwa UNABEMENDWA