Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,172
Hizo ni hasira za kijinga, kicheche mzee manake nini?? Alivyomchukua hakuona huo uzee wake leo ndo anauona.. Sio ustaarabu hata kidogo kutoa kashfa kwa mtu aliyekuwa mpenzi wako just because mmeachana.. Hawezi kujua kuna leo na kesho.. Halafu sio kazi yake kuanika umri wa mwenzie hadharani.. Loh ameniudhi sana huyu Jaffarai!! Huu ni utoto!! Na kama alikuwa mwanaume kama binti imekula kwake.
Inaelekea kijana kaachwa na ndo maana anabwabwaja!!
Usugu wao kwa kujifanya wachumba sugu kwa miaka 8 ndo maana sugu ameenda kusugua hukohuko.[/QUOTE
Lol umeniacha hoi acha tu
Jafarai alikuwa anampeleka wapi yule BIBI KIZEEE
Jafarai ndio kaachwa asilete za kuleta hana lolote kwani alikuwa anafuata PESA kwa yule Demu.
Demu naona kaamu sasa kuona Mbele kwani Umri Unasonga mbele (KM Zinasonanga ) wkt huyu kijana bado ndio yupo kwenye Bongoflava...............yaani vichwa vyao vina shika Channel tofauti
Cha huyu kinashika Clouds radio wkt cha mwingine kinashika Radio One.............wapi na wapi
Shyrose tafuta m2 mzima mwenzako utulie naye Muendeleze maisha achana na hao BongoFalava hawana lolote watakupasua Kichwa wkt ww una PR yako nzuri sana
Mh Mbilinyi anaweza kumshtaki Jaffarai kwa kumdhalilisha maana yeye (Jaffarai) na Shy-Rose hawajaowana mpaka kwenda kumlalamikia kwenye media! namna ile! Pia Clouds inaweza kushitakiwa vilevile kwa kutumia vyombo vyake kusambaza kashfa dhidi ya Sugu!
Hivi Bunge linaanza kesho? Ni mambo gani ya kitaifa yatajadiliwa naomba msaada hapa...
si uende jukwaa husika ukaulize huko au umesahau uko jukwaa gani? celebrities forum na bunge wapi na wapi!! ndo maana mnafeli mitihani.
:msela::msela::msela: