Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Hizo ni hasira za kijinga, kicheche mzee manake nini?? Alivyomchukua hakuona huo uzee wake leo ndo anauona.. Sio ustaarabu hata kidogo kutoa kashfa kwa mtu aliyekuwa mpenzi wako just because mmeachana.. Hawezi kujua kuna leo na kesho.. Halafu sio kazi yake kuanika umri wa mwenzie hadharani.. Loh ameniudhi sana huyu Jaffarai!! Huu ni utoto!! Na kama alikuwa mwanaume kama binti imekula kwake.

Inaelekea kijana kaachwa na ndo maana anabwabwaja!!

Embu wekeni CV ya huyu kijana Jafari hapa Jamvini hivi kamaliza hata kidato cha 4 kweli???
 
wimbo wako jaffarai na lady jaydee..umesimama...KEEP IT UP!!!:coffee:
 
Jafarai alikuwa anampeleka wapi yule BIBI KIZEEE

Jafarai ndio kaachwa asilete za kuleta hana lolote kwani alikuwa anafuata PESA kwa yule Demu.

Demu naona kaamu sasa kuona Mbele kwani Umri Unasonga mbele (KM Zinasonanga ) wkt huyu kijana bado ndio yupo kwenye Bongoflava...............yaani vichwa vyao vina shika Channel tofauti

Cha huyu kinashika Clouds radio wkt cha mwingine kinashika Radio One.............wapi na wapi

Shyrose tafuta m2 mzima mwenzako utulie naye Muendeleze maisha achana na hao BongoFalava hawana lolote watakupasua Kichwa wkt ww una PR yako nzuri sana


Nakuunga mkono mkuu.... ni kweli naona Shy kaona dogo hana jipya bado yuko busy na mitungi na starehe....wakati mwenzake anafikiria life of abundance......kwakweli nahisi bibie alisoma alama za nyakati....akaamua kujitulia mzigo....hata kama jamaa anasema yeye ndio kaaacha na dada ndio alianza utundu na Sugu,nadhani dada alikuwa kwenye kijitafuta zaidi ili ajue anataka ni katika maisha yale ya baadae!
 
Huyu jamaa nimeona kama hamnazo na punguani mwanamme mzima unakwenda kulialia redioni..eti libaki kidogo nizimie hovyo na ujinga wa kulelewa huo
 
Wadada wa CCM wanawazimika sana wanaume wa CHADEMA. A.C+Zitto, Shyrose + Sugu. CCM hakuna wanaume? Au ndo wazee wamejaa VISUKARI NA PRESHA?!!! Mnaogopa kufiwa ulingonie? Hahahahahahahahaha.... Poleni sana dada zangu , ila mnakaribishwa sana na wengine wengi wandelee kuja tupanue familia yetu ya CDM.....
 
Mh Mbilinyi anaweza kumshtaki Jaffarai kwa kumdhalilisha maana yeye (Jaffarai) na Shy-Rose hawajaowana mpaka kwenda kumlalamikia kwenye media! namna ile! Pia Clouds inaweza kushitakiwa vilevile kwa kutumia vyombo vyake kusambaza kashfa dhidi ya Sugu!

Its obvious huu ni mwendelezo wa mpango mchafu wa CLOUDS FM wa kuendelea kumchafua kaka yetu kwa gharama yoyote ile. Haka kavulana wamekatumia kama chambo, sijui wamekalipa sh. ngapi, na vilevile hakajui kama wamemuharibia kazi, lakini kama Clouds wataendelea namna hii, wataperish muda si mrefu coz wana ujinga mkubwa sana sijui kama kuna mwenye akili timamu kwenye hiyo Station.
 
Ngoja wazee wa mujini tuanze kumnyemelea maana mate yalikuwa yanatutoka yalaaaaaaaaaah aunnnnnmmmmmn
 
Aliponiacha hoi ni pale alipodai kuwa ilkuwa akasome degree UD Shy akamwambia no usiende ntakupeleka marekani. Sasa hana shule wala shuga mami..uuuwiii
 
Hii thread imenifundisha kitu kimoja muhimu sana! Unapoamua ku-date mtu kuwa makini sana kwenye kuweka maamuzi ! Hata kama mtabwagana mbele ya safari bali awe ni mtu atakaye kupa heshima. Kama Shy-Rose angekuwa amepiga picha za utupu na huyu Mshamba Jaffa bila shaka angeweka hadharani. Hii dunia ina wanawake wangapi? Ningekuwa yeye ningetafuta na mimi Mbunge wa kike ili tuwe tumesquare differences. Kwenda kulia lia ni udhaifu wa ajabu.
 
jafa kama una picha za utupu za SHy nitumie kwenye PM
 
Siku wakirudiana pia aende Clouds akatangaze,mbona wakati wanatakana hakutangaza?
 
mtoto wa kiume full kulia lia eti sugu amenipigia mzigo...SUGU SUGUA SUGUA...lazima upo weak thus why demu kakukimbia ..jiulize sana mzee...tafuta kicheche za secondary mi naona ndio class yako na sio shoka kama shy
 
siku hizi kuachana nako matangazo kazi ipo :A S 20:
 
Hivi Bunge linaanza kesho? Ni mambo gani ya kitaifa yatajadiliwa naomba msaada hapa...

si uende jukwaa husika ukaulize huko au umesahau uko jukwaa gani? celebrities forum na bunge wapi na wapi!! ndo maana mnafeli mitihani.
 
si uende jukwaa husika ukaulize huko au umesahau uko jukwaa gani? celebrities forum na bunge wapi na wapi!! ndo maana mnafeli mitihani.

Hahaahaaaa! labda kaona mheshimiwa Sugu katajwa akajua ndio mahali pake!!
 
Back
Top Bottom