Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,172
Hizo ni hasira za kijinga, kicheche mzee manake nini?? Alivyomchukua hakuona huo uzee wake leo ndo anauona.. Sio ustaarabu hata kidogo kutoa kashfa kwa mtu aliyekuwa mpenzi wako just because mmeachana.. Hawezi kujua kuna leo na kesho.. Halafu sio kazi yake kuanika umri wa mwenzie hadharani.. Loh ameniudhi sana huyu Jaffarai!! Huu ni utoto!! Na kama alikuwa mwanaume kama binti imekula kwake.
Inaelekea kijana kaachwa na ndo maana anabwabwaja!!
Embu wekeni CV ya huyu kijana Jafari hapa Jamvini hivi kamaliza hata kidato cha 4 kweli???