Kimilidzo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 1,346
- 625
Give me break..... Unasupport upuuzi huu wa Jafarai. To me angeishia tu kulaani kuporwa mwanamama wake, coz sio demu kwa kuwa umri umeenda, lakini sio kumtangaza dunia nzima kuwa ni kicheche mzee na kutuambia kuwa ana miaka 42. Je amejua sasa kuwa limama lake ni lizee?? Amekuwa naye for years, wakati wote huo hakujua kuwa ni mzee. Jamani wasanii wa bongo hata kama shule hamkwenda lakini ukimtukana mtu katika mass media kama facebook unajiweka katika mazingira ya kushtakiwa kwa defamation of character, au abusing na ukaishia kufungwa bure. Mapenzi ndivyo yalivyo, ukiona yamekuzidi unachomoka kimyakimya and move forwardAngemjua ni kicheche asingekuwa nae katika mapenzi.....ndo kamjua sasa na kachukua hatua....nafikiri mtu kama Jafarai ana pressure sana kutoka kwa fans wake wa kusema ukweli....na inaumiza kuwa cheated....kila mtu ana namna anayoweza deal na tatizo,he is frustrated na nafikiri kafanya uamuzi mzuri.......