Jafo: Wakurugenzi watakaoshindwa kupata 50% ya mapato hadi Januari wanaweza kuwekwa pembeni

Jafo: Wakurugenzi watakaoshindwa kupata 50% ya mapato hadi Januari wanaweza kuwekwa pembeni

Sasa hao MaDED hizo fedha wanazolazimishwa kukusanya, wananchi watazitoa wapi kama uchumi umedorola? Hawa Mawaziri wasiotumia akili hawapaswi kupewa hadhi hiyo kwani wanabwabwaja tu ili mradi wasikike na bwana mkubwa kuwa nao wapo!!
Kwa mtindo huu mtawafukuza MaDED wengi ili mpate nafasi ya kuwateua ndugu zenu!!
Wafukuzwe tuu alipokuwa wanawanyanyasa wapinzani waliona raha. Sasa ni zamu yao kusomeshwa namba.
 
sio kuanzia january....mkoa wa dodoma nadhani wamehamishia nguvu kwa madereva bodaboda. Wanawakamata sana ili walipishwe kodi kadha wa kadha kuongeza mapato. WAHUNI WAMEANZA KUMKUMBUKA KANGI LOGOLA mapema sana!!. Namba zinasomeka vizuri sana kwa madereva boda mjini
 
Hahaha ccm wanashindwa wapi tena na chadema haipo?!

Hivi hizo pesa wanazitoa wao au sisi wananchi?!

Mkiwabana wanaanzisha kodi za kichwa, tukilalamika mnawafukuza, kama nia yenu kuwafukuza msitafute sababu wafukuzeni tu.
 
Mwaka 2016-2017 Jiwe aligungua sana viwanda vilivyoanzishwa na kikwete ila baada ya hapo hakuna kitu vingi vinapunguza uzalishaji ama kufungwa kabisa.
 
Back
Top Bottom