Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Wafukuzwe tuu alipokuwa wanawanyanyasa wapinzani waliona raha. Sasa ni zamu yao kusomeshwa namba.Sasa hao MaDED hizo fedha wanazolazimishwa kukusanya, wananchi watazitoa wapi kama uchumi umedorola? Hawa Mawaziri wasiotumia akili hawapaswi kupewa hadhi hiyo kwani wanabwabwaja tu ili mradi wasikike na bwana mkubwa kuwa nao wapo!!
Kwa mtindo huu mtawafukuza MaDED wengi ili mpate nafasi ya kuwateua ndugu zenu!!