Jafo: Wakurugenzi watakaoshindwa kupata 50% ya mapato hadi Januari wanaweza kuwekwa pembeni

Wafukuzwe tuu alipokuwa wanawanyanyasa wapinzani waliona raha. Sasa ni zamu yao kusomeshwa namba.
 
sio kuanzia january....mkoa wa dodoma nadhani wamehamishia nguvu kwa madereva bodaboda. Wanawakamata sana ili walipishwe kodi kadha wa kadha kuongeza mapato. WAHUNI WAMEANZA KUMKUMBUKA KANGI LOGOLA mapema sana!!. Namba zinasomeka vizuri sana kwa madereva boda mjini
 
Hahaha ccm wanashindwa wapi tena na chadema haipo?!

Hivi hizo pesa wanazitoa wao au sisi wananchi?!

Mkiwabana wanaanzisha kodi za kichwa, tukilalamika mnawafukuza, kama nia yenu kuwafukuza msitafute sababu wafukuzeni tu.
 
Mwaka 2016-2017 Jiwe aligungua sana viwanda vilivyoanzishwa na kikwete ila baada ya hapo hakuna kitu vingi vinapunguza uzalishaji ama kufungwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…