Maana yeye ndiye Kigeugeu halisi ana nia ya kupiga watu na kuwaua badala ya kuwaongoza pambaf zake!Kabisa....
Ova
Naunga mkono kauli ya PM wetu Mh. Kassim Majaliwa na katika kuweka kumbukumbu sawa: Rais Kenyatta ndiye aliyewaalika Watanzania na Waganda kwenda kufanya kazi na kuishi kwa uhuru nchini Kenya pasi kubughudhiwa... sasa binafsi sioni kama kauli ya pakapori ina nguvu kumzidi anayemfuga!!!
Mjingaa sanaMaana yeye ndiye Kigeugeu halisi ana nia ya kupiga watu na kuwaua badala ya kuwaongoza pambaf zake!
Hatari sana!!! NA UKIONA MTU YEYOTE HAPENDI WAGENI TAMBUA ANA UDUNI WA FIKRA NA WOGA WA CHANGAMOTO "AKILI DUMAZI"Watanzania tunajidhalilisha. Yaani akiongea mbunge tayari inakuwa ni tamko la serikali? Kwa hiyo Lusinde akisema hawataki Wachina kule Mtera, ichukuliwe kwamba Watanzania wamewafukuza Wachina? Ndio maana tunachekwa kwa ujinga
Huko twitter anajiteteaje mkuu?Huyu mbwa nae Kawa kigeugeu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shimamoo madaraka mamaee huyu... Yani jamaa mpuuzi sana alafu anakuja Kujitetea twitter...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Kwamba alikuwa hamaanishi watz alimaanisha wachina..[emoji23][emoji23][emoji23]Huko twitter anajiteteaje mkuu?
Kwamba alikuwa hamaanishi watz alimaanisha wachina..[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka nikuite mseng& ila nimeona nikuache tu..dawa ya meno gani inayotumika sana Tanzania inatoka kenya au sabuni gani inayotumika sana Tanzania inatoka kenya?Mkuu tutanuka uvundo... maana kila sabuni ni ya Kenya dawa za mswaki vivyo hivyo... kuna mahala tunakwama "wanyonge!!"
Tungewapa taiz kidogo tu wangeshangaa wenyewe. Ningeanza na waliopo St Mary's paleHawatathubutu wanatishia nyau tu
Tungewapa taiz kidogo tu wangeshangaa wenyewe. Ningeanza na waliopo St Mary's pale
Tena wenye hivi vi kindergarten ni wengi kinyama!!Tungewapa taiz kidogo tu wangeshangaa wenyewe. Ningeanza na waliopo St Mary's pale
Siwezi kuisemea fani yako....Nilitaka nikuite mseng& ila nimeona nikuache tu..dawa ya meno gani inayotumika sana Tanzania inatoka kenya au sabuni gani inayotumika sana Tanzania inatoka kenya?
Na kunisononesha sana, ni bora angezungumza vile mtu wa kawaida tu pengine tungesema mihadarati imemzidi nguvu. Lakini kiongozi! Tena unahutubia pahala penye mkusanyiko!? Kwamba anadhani yeye au wakenya wao wana umaalumu gani!?Kumbe hii habari imekuumiza
Huku kwetu Mbezi wamejazana kinoma, nilikuwa nawazoom tu maana tunazifahamu mpaka gari zaoTena wenye hivi vi kindergarten ni wengi kinyama!!