eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Huyo kavuta bangi kutoka Moshi Arusha. Mwambie @jotolajiwe atulie aelewe huyo mbunge ni kichaa tu.
Lakini SERIKALI itoe tamko.
Huyu mhuni anaharibu sifa ya Kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kavuta bangi kutoka Moshi Arusha. Mwambie @jotolajiwe atulie aelewe huyo mbunge ni kichaa tu.
😀 😀 haijalishi sitakuwa wa kwanza.... ukiona mtu anatukana unajua kuna jambo limekita mahala. Tujibizane kwa hoja!Nilitaka kukuita Qu.m@ lkn ngoja nikuache tu.
Wapigwe tu!Hebu peleka hii habari kwa amri jeshi mkuu wetu atushauri cha kufanya
Hiyo hatari mzeeWapigwe tu!
ukiwa unaenda kwenu, ukifika pale ruilu msalimie yule mama wa kiluhya muuza matunda pale pembeni ya barabara.Hata Githurai huwa napita nikienda kwetu kijijini, naona unajua maeneo maeneo ya huku, utakua umewavurga dada zetu wewe.
Hizo ni bange za Shashamania huko EthiopiaHuyo kavuta bangi kutoka Moshi Arusha. Mwambie @jotolajiwe atulie aelewe huyo mbunge ni kichaa tu.
Sababu tutachukua kwa ndugu zetu wengine wakina musevenMkuu tutanuka uvundo... maana kila sabuni ni ya Kenya dawa za mswaki vivyo hivyo... kuna mahala tunakwama "wanyonge!!"
Kabisa mkuuHuyu dogo kasahau kuwa Wa-TZ ndio walimpa umaarufu baada ya kufanya collabo na AY ndio akaanza kujulikana kama msanii
Kama ni Kenya wala sishangai.
Kama ni jaguar yule ambaye alisema hakuna media yeyote ya Tanzania inaweza kumhoji na akakataa kuja kwenye Kilimajaro Award haishangazi.
Wakenya huwa wanashangaza.
Wanasahau kuwa hata George Tyson alikuja Tanzania akapokelewa vizuri huku, akaoa huku,akapewa uongozi wa kuwaongoza waigiza filamu wa Bongo movie
Haijaishia hapo ajafunga harusi na Monalisa BILA KUCHANGIA CHOCHOTE hata 100/= gharama yote ilisimamiwa na wa Tanzania.
LAKINI Leo hii Wakenya wanawafukuza Watanzania kama sio ndugu zao vile.
Hawamjui anko hawaNYANGAU KATIKA UBORA WAO, WANASAHAU WAO NDIYO WAMEJAZANA KWETU? DAWA YAO INACHEMKA!
Hawatathubutu wanatishia nyau tuWacha wajitie dole lenye pili pili tu kitunduni. Hili nitaliongoza mimi mwenyewe qmalamamae zao
kwanza vijinyimbo vyake huyo jaguar vipigwe banHyo jaguar f@l sna
Ova