Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Huyu bangi tu kichwani apuuzwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliokula nyama ya binadamu ambao Nyerere aliwasemaMara kibao tu alikuwa anakuja tz -- na ana pewa support kubwa tu ... Mara hii amesahau fadhila zote
Halafu na demu wangu Irene wa Lang'ata. Hebu wajaribu kama watasurviveSisi huku tutaanza na mke wa Kiba then Tanasha. Ni ujinga tu kufikiria wageni wanachukua opportunities zenu. Survival of the fittest.
Mtu habadiliki hivihivi kuna jambo...Mara kibao tu alikuwa anakuja tz -- na ana pewa support kubwa tu ... Mara hii amesahau fadhila zote
nadhani ttzo ni shule n bangi aliyovuta utotoni,Huyo hajui impact ya hayo anayotaka kuyafanya,hajui kuwa kuna investors wengi sana wa ki kenya wako huku na wana mitaji mikubwa sana!wajaribu kufanya hayo wanayofanya halafu wasikie kilio kitakachofuata...
Kwani kuna mtu ana nyimbo za huyo bwege kweli!!!??? Sijawahi ona/sikia chochote cha kunivutia katika nyimbo zake.Wakuu nimeanzisha huu uzi kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa wazi wazi aliounyesha Jaguar dhidi ya Wa Tanzania na Waganda waishio Kenya.Hivyo nawaomba tufute kabisa nyimbo za huyu jamaa kwenye simu, computer au tablet. Na pia tuviombe vyombo vyetu pendwa kutokupiga nyimbo zake.
NAOMBA KUWASILISHA
Wewe kuna ndugu yako yeyote kule Kenya???, wewe utakua myonge kabisa, endelea na elimu yako ya kusadikika.Hata wakiwaua kwa mapanga kabisa,huruhusiwi kuwaua Wakenya au foreigner waliopo nchini kwako...
Xhzenophobia ni upumbavu wa kipumbavu unaotakiwa kurudishwa kwa wema na sio kuchinjana kama manyani!
Ndio maana SA waliua Waafrika wenzao kwa Xhzenophobia lakini hakuna mSA alieuawa nchi yeyote..Huwezi lipa kifo cha Xhzenophobia kwa kifo wewe,hamtakua na tofauti na mahayawani!
Xhzenophobia au civil wars zinamalizwa kwa elimu na reconciliation sio upumbvu wa jino kwa jino kama unaosemea hapa!
Kama unachosema ni the best solution dunia hii isingefaa kuishi kabisa....na kila raia wa nchi tofauti angekua ni officially a lethal danger to another person from another country.
Mzee ukichukulia hili tatizo ni la Kenya pekee yake utakua very myopic....Hili ni tatizo kubwa East Africa na Africa yote hasa chini ya jangwa la sahara!
Wakenya wanawabagua waTZ na waTZ wanawabagua waKE na UG wanawabagua waRW na waRW wanawabagua waBR ...yaani kila mmoja anambagua mwenzake,hakuna mwema hapa....
SA inabagua wenzake na kuwaua kabisa...na wanambagua SA too....Africa is a ground of some stupid cave-time thinking of resource primitive protection...ni elimu tu na reconciliation ndio solution na sio kuua wenzako kama eti ndio retaliation!
Ila kama nchi inaweka sera za wazi za kibaguzi then the next country na yenyewe inaweka sera baguzi hivyo hivyo ili ku-even out..ila sio kuchinjana kama mahayawani wa kipindi cha kuishi mapangoni huko!
Mbona juzikati alikuja Clouds 360 kutafuta mchumba Ngoma akamlengesha kwa Wema Sepetu!Wakuu nimeanzisha huu uzi kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa wazi wazi aliounyesha Jaguar dhidi ya Wa Tanzania na Waganda waishio Kenya.Hivyo nawaomba tufute kabisa nyimbo za huyu jamaa kwenye simu, computer au tablet. Na pia tuviombe vyombo vyetu pendwa kutokupiga nyimbo zake.
NAOMBA KUWASILISHA
Nilitaka kukuita Qu.m@ lkn ngoja nikuache tu.Mbona tunasikia huku kwetu biashara zinafungwa kila uchao na wawekezaji wanatukimbia?
Inawezekana kuna kisasi kinalipwa...
Ikiwa wenyewe kwa wenyewe tunabaguana kivyama, kabila na dini WAACHENI WATUBAGUE TUNAVUNA TUNACHOKIPANDA
Yaani nimemsikia pumbavu. Ana jitetea baada ya kuona kuwa amekwisha haribuHuyu jamaa anataka kutuona Wa -Tanzania hatua masikio!!! Ati anakanusha kutaka Waganda naWatanzania kufukuzwa. Anadai kauli yake iliwalenga Wachina[emoji56][emoji56]
Kwani kuna mtu ana nyimbo za huyo bwege kweli!!!??? Sijawahi ona/sikia chochote cha kunivutia katika nyimbo zake.