joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Utawajua wenzangu, jaribuni kuwasha moto muone kitakachowakuta. Kwanza tunaanza kuzuia chakula kuingia Kenya.Wewe na akina nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawajua wenzangu, jaribuni kuwasha moto muone kitakachowakuta. Kwanza tunaanza kuzuia chakula kuingia Kenya.Wewe na akina nani
Nyang'au mkubwa wewe.Mbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar amesema hawataki wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda kwenye jimbo lake na ameahidi waondoke la sivyo atawapiga.
.
"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
--------------
Wakenya wametoa saa 24 kuhakikisha wafanyabiasha raia wa China, Pakistan,Tanzania na Uganda wameondoka nchini mwao na kuwaachia maeneo yao, la sivyo wageni hao watatembezewa kipigo cha mbwa koko.
View attachment 1138015
Sijawahi kuwa na imani na wakenyaTaarifa zisizo rasmi toka Kenya zinasema kwamba, baadhi ya watanzania wanaoishi na kufanya biashara jijini Nairobi wameamua kutofungua biashara zao, na wengine kuvuka mpaka wa Namanga ili kuhofia maisha na biashara zao.
Umewaona wakifunga biashara zao ukiwa huko huko Uwanja wa Fisi?Taarifa zisizo rasmi toka Kenya zinasema kwamba, baadhi ya watanzania wanaoishi na kufanya biashara jijini Nairobi wameamua kutofungua biashara zao, na wengine kuvuka mpaka wa Namanga ili kuhofia maisha na biashara zao.
Unaelewa maana ya taarifa zisizorasmi?, wewe unategemea nini kama mwanasiasa anahamasisha mashambulizi kwa wageni na hakuna kiongozi yoyote aliyetoka hadhari na kuwahakikishia usalama wao na Mali zao?Umewaona wakifunga biashara zao ukiwa huko huko Uwanja wa Fisi?
uwanja wa fisi akifanya nini...Umewaona wakifunga biashara zao ukiwa huko huko Uwanja wa Fisi?
Akiimba fisiemu mbere kwa mbere.uwanja wa fisi akifanya nini...
Mbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar amesema hawataki wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda kwenye jimbo lake na ameahidi waondoke la sivyo atawapiga.
.
"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
--------------
Wakenya wametoa saa 24 kuhakikisha wafanyabiasha raia wa China, Pakistan,Tanzania na Uganda wameondoka nchini mwao na kuwaachia maeneo yao, la sivyo wageni hao watatembezewa kipigo cha mbwa koko.
View attachment 1138015
Jina lingine la taarifa zisizo rasmi ni umbea. Umbea ni haramu kwa wanaume.Unaelewa maana ya taarifa zisizorasmi?, wewe unategemea nini kama mwanasiasa anahamasisha mashambulizi kwa wageni na hakuna kiongozi yoyote aliyetoka hadhari na kuwahakikishia usalama wao na Mali zao?
Nimekuuliza, ungekuwa wewe unaishi Tanzania, kuna mwanasiasa,tena toka chama tawala anahamasisha mashambulizi dhidi ya wageni, na hakuna kiongozi yeyote aliyekanisha, wala vyombo vya ulinzi na usalama havikuhakikishii usalama wako, utapuuzia?Jina lingine la taarifa zisizo rasmi ni umbea. Umbea ni haramu kwa wanaume.
Halafu ujue wengi wa hao jamaa hutokea Moshi na Arusha sasa wakiwafurumusha Nairobi wawe tayari kukabili ghadhabu zao kwa Wakenya wanaoishi Arusha na Moshi.