Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Nimekuuliza, ungekuwa wewe unaishi Tanzania, kuna mwanasiasa,tena toka chama tawala anahamasisha mashambulizi dhidi ya wageni, na hakuna kiongozi yeyote aliyekanisha, wala vyombo vya ulinzi na usalama havikuhakikishii usalama wako, utapuuzia?
Kwahivyo umeona uwasaidie kwa kueneza umbea na porojo? Usalama wao umekuwa kwenye mikono ya nani siku zote hizo, tangia waanze kuishi Kenya? Tofauti kati yako na na wewe ni kwamba upo very idle jombaa, na wao wapo very busy wakijituma na kufanya kazi zao.
 
kwani wakati tunazidownload au kuzinunua ulituomba wewe
 
Kwahivyo umeona uwasaidie kwa kueneza umbea na porojo? Usalama wao umekuwa kwenye mikono ya nani siku zote hizo, tangia waanze kuishi Kenya? Tofauti kati yako na na wewe ni kwamba upo very idle jombaa, na wao wapo very busy wakijituma na kufanya kazi zao.
Baadhi ya rafiki zangu tumewasiliana wameniambia haya ninayokuambia, sasa hivi ndio amefika Namanga.
 
Mbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar amesema hawataki wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda kwenye jimbo lake na ameahidi waondoke la sivyo atawapiga.
.
"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
--------------
Wakenya wametoa saa 24 kuhakikisha wafanyabiasha raia wa China, Pakistan,Tanzania na Uganda wameondoka nchini mwao na kuwaachia maeneo yao, la sivyo wageni hao watatembezewa kipigo cha mbwa koko.
View attachment 1138015
Na sisi tuwaondoe wakenya waliopo kwenye sekta mbalimbali hapa Tanzania kama walimu, mahotelia nk, mwisho wa siku atakaepata hasara kubwa ni kenya maana kwao fursa ni adimu na wamekimbilia hapa wameshika ajira zetu nyingi tu ambazo wazawa wanaweza kufanya
 
Utawajua wenzangu, jaribuni kuwasha moto muone kitakachowakuta. Kwanza tunaanza kuzuia chakula kuingia Kenya.
Km ingelikuwa mnatupa bure sawa..lkn tunanua..mbna poa tu...

Lkn ujue hatutowauzia toothpick na sisi
 
Na sisi tuwaondoe wakenya waliopo kwenye sekta mbalimbali hapa Tanzania kama walimu, mahotelia nk, mwisho wa siku atakaepata hasara kubwa ni kenya maana kwao fursa ni adimu na wamekimbilia hapa wameshika ajira zetu nyingi tu ambazo wazawa wanaweza kufanya
Wapiga dili wote makwao...
 
Wakuu nimeanzisha huu uzi kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa wazi wazi aliounyesha Jaguar dhidi ya Wa Tanzania na Waganda waishio Kenya.Hivyo nawaomba tufute kabisa nyimbo za huyu jamaa kwenye simu, computer au tablet. Na pia tuviombe vyombo vyetu pendwa kutokupiga nyimbo zake.
NAOMBA KUWASILISHA
Twendeni na yutube
 
Unaelewa maana ya taarifa zisizorasmi?, wewe unategemea nini kama mwanasiasa anahamasisha mashambulizi kwa wageni na hakuna kiongozi yoyote aliyetoka hadhari na kuwahakikishia usalama wao na Mali zao?
Inawezekana habari yenyewe hata haijui anaropoka tu huyu, achana naye
 
Huyo hajui impact ya hayo anayotaka kuyafanya,hajui kuwa kuna investors wengi sana wa ki kenya wako huku na wana mitaji mikubwa sana!wajaribu kufanya hayo wanayofanya halafu wasikie kilio kitakachofuata...
 
Je huyo jagi sijui jagwa akibagua inatusaidia nini sisi huku kibakwe?
 
Yule mwehu '' Ana hamasisha chuki dhidi ya Mataifa hays mawili ambayo Yana muda mrefu sasa tangu yaamue kuwa na Ushirikiano kama ndugu ---

Yule ni moja ya viongozi wa ajabu kabisa ambao nimepata kuwashuhudia
Hapa juzi juzi alikuwa kwenye kipindi cha 360 cha clouds, kumbe walimwalika mchawi
 
Huyo hajui impact ya hayo anayotaka kuyafanya,hajui kuwa kuna investors wengi sana wa ki kenya wako huku na wana mitaji mikubwa sana!wajaribu kufanya hayo wanayofanya halafu wasikie kilio kitakachofuata...
Mbona tunasikia huku kwetu biashara zinafungwa kila uchao na wawekezaji wanatukimbia?
Inawezekana kuna kisasi kinalipwa...
Ikiwa wenyewe kwa wenyewe tunabaguana kivyama, kabila na dini WAACHENI WATUBAGUE TUNAVUNA TUNACHOKIPANDA
 
Back
Top Bottom