Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
warudi nyumbani walime korosho zinalipa sana.
Na Pamba Mkuu wasiisahau 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
warudi nyumbani walime korosho zinalipa sana.
Asilimia 80 walimu wa shule binafsi ni wakenya wagandaNYANGAU KATIKA UBORA WAO, WANASAHAU WAO NDIYO WAMEJAZANA KWETU? DAWA YAO INACHEMKA!
basi sawa msee wa githurai.Sijawahi kuishi Mwiki.
Eeeeh ukifuta kwenye simu yako inazuia xenophobia ?Wakuu nimeanzisha huu uzi kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa wazi wazi aliounyesha Jaguar dhidi ya Wa Tanzania na Waganda waishio Kenya.Hivyo nawaomba tufute kabisa nyimbo za huyu jamaa kwenye simu, computer au tablet. Na pia tuviombe vyombo vyetu pendwa kutokupiga nyimbo zake.
NAOMBA KUWASILISHA
basi sawa msee wa githurai.
Huyo kavuta bangi kutoka Moshi Arusha. Mwambie @jotolajiwe atulie aelewe huyo mbunge ni kichaa tu.Huyo ni muhuni tu, mamlaka za Kenya hazita fumbia macho upunguani kama huo.
Wanadamu wote duniani ni ndugu zangu...Wewe kuna ndugu yako yeyote kule Kenya???, wewe utakua myonge kabisa, endelea na elimu yako ya kusadikika.
Ninakumbuka sana hotuba ya baba wa Taifa la Tanzania, Mwl. Julius Nyerere kuhusu Ubaguzi, alisema hivi " Ubaguzi ni sawa sawa na kula nyama ya MTU, ukishaanza kubagua huwezi kuacha, mtaendelea". Hiki ndicho kinachotokea kwa Kenya, baada ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwa misingi ya ukabila na maeneo wanayotoka, sasa wameona ni vyema waelekeze ubaguzi wao kwa mataifa jirani.
Kitu cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba, kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakijinasibu kwamba wao hawaogopi ushindani wa biashara, na sio watu wanaolinda ajira zao (Protectionists).
Walianza na kampeni ya "Play Kenyan Music", walipoona imeshindikina, sasa wanataka kuanzisha fujo na kuwapiga wageni wote wanaofanya biashara huko kwao, hata kama wanafanya biashara halali.
Swali kwa watanzania wa JF, kwasababu imekua ni tabia ya wakenya kuanzisha fujo Mara kwa Mara kama njia ya kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao badala ya kutumia mfumo wao wa sheria, kama kweli watawadhuru watanzania, waganda, Rwanda au Burundi, tuwachukulie hatua gani?.
Kama ni Kenya wala sishangai.Mbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar amesema hawataki wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda kwenye jimbo lake na ameahidi waondoke la sivyo atawapiga.
.
"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
--------------
Wakenya wametoa saa 24 kuhakikisha wafanyabiasha raia wa China, Pakistan,Tanzania na Uganda wameondoka nchini mwao na kuwaachia maeneo yao, la sivyo wageni hao watatembezewa kipigo cha mbwa koko.
View attachment 1138015
HUYU MBUNGE AKAMATWE HARAKA SANA. NI WAZI KWAMBA USHIRIKIANO WA MATAIFA YALIOTAJWA HAPO NI MZURI NA KILA TAIFA LINA RAIA KWENYE TAIFA LA MWENZAKE, UJINGA HUO UKIACHIWA ITABIDI NA HUKU KWETU PIA TULIPIZE KISASI??!!!. JE HAPO KUNA USHIRIKIANO? EAC ITAKUWA NA FAIDA YYTE KUENDELEA KUWEPO ??? KAMA NI KWELI AMESEMA WANENO WAPEWE SAA 24 LAA SIVYO ATAWAPIGA, BASI HARAKA AKAMATWE KISHA AKAPIMWE AKILI. NA ZOEZI HILO LISIPEWE NAFASI KWANI LINAWEZA KUCHAFUA HEWA.Mbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar amesema hawataki wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda kwenye jimbo lake na ameahidi waondoke la sivyo atawapiga.
.
"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
--------------
Wakenya wametoa saa 24 kuhakikisha wafanyabiasha raia wa China, Pakistan,Tanzania na Uganda wameondoka nchini mwao na kuwaachia maeneo yao, la sivyo wageni hao watatembezewa kipigo cha mbwa koko.
View attachment 1138015