Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Huyu mbwa nae Kawa kigeugeu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shimamoo madaraka mamaee huyu... Yani jamaa mpuuzi sana alafu anakuja Kujitetea twitter...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Wakuu nimeanzisha huu uzi kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa wazi wazi aliounyesha Jaguar dhidi ya Wa Tanzania na Waganda waishio Kenya.Hivyo nawaomba tufute kabisa nyimbo za huyu jamaa kwenye simu, computer au tablet. Na pia tuviombe vyombo vyetu pendwa kutokupiga nyimbo zake.
NAOMBA KUWASILISHA
Eeeeh ukifuta kwenye simu yako inazuia xenophobia ?
 
Hv Jaguar ni mbunge?? Na hlo jimbo la stareh ndo liko wp?

Btw na yy akija kwnye interview uku Bongo tumpige tuu
 
Wacheni kupaniki. Wakenya tunawapenda majirani zetu. Huyo mbunge amevuta bangi na wala asiwatishe hata kidogo.
 
KENYA HAINA MAJIMBO. hiyo "jimbo" la starehe unajua mahali umeitoa. Pili, hiyo sio sauti ya Jaguar bali ni ya aliyekuwa mbunge wa Starehe Bw. Maina Kamanda.
 
Jaguar is high on something, no foreigner should worry.
 
Wewe kuna ndugu yako yeyote kule Kenya???, wewe utakua myonge kabisa, endelea na elimu yako ya kusadikika.
Wanadamu wote duniani ni ndugu zangu...

Mbona wa SA huwachukii na wanaua waTZ kila siku SA kwa Xhezophobia hiyo hiyo?

Au chuki zako zinabagua labda?

Huwezi lipa mauaji kwa mauaji...na two wrongs can never make it right!

Hivi kwa hoja zako una tofauti gani na hoja za manyani za kuraruana mwituni kugombea ndizi?

Kwanini msikae mkaelewana nani mwenye haki na hiyo ndizi au mkagawana kidogo kidogo?
 
Kwa hiyo wanafikiri sisi ndo tunawataka wao huku tz... wakimwaga mboga sisi tunamwaga ugali tunavunja sahani tunatoboa sufuria tunaharibu mpaka jiko..
shubamiit zenu!
 


Ninakumbuka sana hotuba ya baba wa Taifa la Tanzania, Mwl. Julius Nyerere kuhusu Ubaguzi, alisema hivi " Ubaguzi ni sawa sawa na kula nyama ya MTU, ukishaanza kubagua huwezi kuacha, mtaendelea". Hiki ndicho kinachotokea kwa Kenya, baada ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwa misingi ya ukabila na maeneo wanayotoka, sasa wameona ni vyema waelekeze ubaguzi wao kwa mataifa jirani.

Kitu cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba, kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakijinasibu kwamba wao hawaogopi ushindani wa biashara, na sio watu wanaolinda ajira zao (Protectionists).

Walianza na kampeni ya "Play Kenyan Music", walipoona imeshindikina, sasa wanataka kuanzisha fujo na kuwapiga wageni wote wanaofanya biashara huko kwao, hata kama wanafanya biashara halali.

Swali kwa watanzania wa JF, kwasababu imekua ni tabia ya wakenya kuanzisha fujo Mara kwa Mara kama njia ya kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao badala ya kutumia mfumo wao wa sheria, kama kweli watawadhuru watanzania, waganda, Rwanda au Burundi, tuwachukulie hatua gani?.


Tutawafira wakeii bila mafuta.
 
Mbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar amesema hawataki wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda kwenye jimbo lake na ameahidi waondoke la sivyo atawapiga.
.
"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
--------------
Wakenya wametoa saa 24 kuhakikisha wafanyabiasha raia wa China, Pakistan,Tanzania na Uganda wameondoka nchini mwao na kuwaachia maeneo yao, la sivyo wageni hao watatembezewa kipigo cha mbwa koko.
View attachment 1138015
Kama ni Kenya wala sishangai.

Kama ni jaguar yule ambaye alisema hakuna media yeyote ya Tanzania inaweza kumhoji na akakataa kuja kwenye Kilimajaro Award haishangazi.

Wakenya huwa wanashangaza.

Wanasahau kuwa hata George Tyson alikuja Tanzania akapokelewa vizuri huku, akaoa huku,akapewa uongozi wa kuwaongoza waigiza filamu wa Bongo movie

Haijaishia hapo ajafunga harusi na Monalisa BILA KUCHANGIA CHOCHOTE hata 100/= gharama yote ilisimamiwa na wa Tanzania.

LAKINI Leo hii Wakenya wanawafukuza Watanzania kama sio ndugu zao vile.
 
Mbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar amesema hawataki wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda kwenye jimbo lake na ameahidi waondoke la sivyo atawapiga.
.
"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
--------------
Wakenya wametoa saa 24 kuhakikisha wafanyabiasha raia wa China, Pakistan,Tanzania na Uganda wameondoka nchini mwao na kuwaachia maeneo yao, la sivyo wageni hao watatembezewa kipigo cha mbwa koko.
View attachment 1138015
HUYU MBUNGE AKAMATWE HARAKA SANA. NI WAZI KWAMBA USHIRIKIANO WA MATAIFA YALIOTAJWA HAPO NI MZURI NA KILA TAIFA LINA RAIA KWENYE TAIFA LA MWENZAKE, UJINGA HUO UKIACHIWA ITABIDI NA HUKU KWETU PIA TULIPIZE KISASI??!!!. JE HAPO KUNA USHIRIKIANO? EAC ITAKUWA NA FAIDA YYTE KUENDELEA KUWEPO ??? KAMA NI KWELI AMESEMA WANENO WAPEWE SAA 24 LAA SIVYO ATAWAPIGA, BASI HARAKA AKAMATWE KISHA AKAPIMWE AKILI. NA ZOEZI HILO LISIPEWE NAFASI KWANI LINAWEZA KUCHAFUA HEWA.
 
Back
Top Bottom