emanuel goa
JF-Expert Member
- Mar 19, 2018
- 522
- 585
Mihemko ya muda mfumo tu atatulia maana hajatumwa na mamlakaMbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar amesema hawataki wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda kwenye jimbo lake na ameahidi waondoke la sivyo atawapiga.
.
"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
#Tv1updates #kwesesports #kweseiflix #kwese #kfs #Kitaakimetuamin
Ndio solution ya jino kwa jino?
Labda muwaadhibu kwenye sera zenu kama nchi kuwabagua wao na sio kuchinja mzee!
Kuchinjana hakuna tofuti na nyote kua manyani wa mwituni!
Ndio maana SA waliua Waafrika wenzao ila sio kuwaua wao kama lipizo!
Wao kila siku wanalalama tz ndio inachelewesha federation at the same time wanatuogopa that bomboclot man usitafute aman wakati wa vita utaanza kufa wakat wakati wa aman dumisha amani wakati wa vita tafuta ushindi tu mzee baba
Retaliation kwa discriminative sera na sheria against them kwenye nchi yenu ni sawa....kuuana kama kisasi ni uhayawani wenyewe!
Mpuuzi tu huyo.Jaguar could find a better way to express his feeling
Tanzania and Kenya is a family it's like USA and canada
Hehehe! Mbona Watanzania mumebabaika hivi, mara nyingi huwa mnasema hamhitaji chochote Kenya, ila ukiangalia takwimu za uhamiaji, mpo mnakuja huku kwa maelfu sio mchezo, hili lisiwababaishe wala kuwapa wasiwasi, ni kauli za mwanasiasa aliyeishiwa sera, hana lolote la maana tangu aingie kwenye uongozi, huyu jamaa sijaona chochote alichokifanya, hapo anajaribu kutafuta pa kutokea.
Raia wa Afrika mashariki wako huku wanajituma kuliko maelezo na tunafaidi sana kiuchumi, rais wetu mwenyewe alishasema mwana Afrika mashariki yeyote ajihisi kama Mkenya, anahitaji tu kitambulisho basi.
Sioni ulichoandikaHehehe! Mbona Watanzania mumebabaika hivi, mara nyingi huwa mnasema hamhitaji chochote Kenya, ila ukiangalia takwimu za uhamiaji, mpo mnakuja huku kwa maelfu sio mchezo, hili lisiwababaishe wala kuwapa wasiwasi, ni kauli za mwanasiasa aliyeishiwa sera, hana lolote la maana tangu aingie kwenye uongozi, huyu jamaa sijaona chochote alichokifanya, hapo anajaribu kutafuta pa kutokea.
Raia wa Afrika mashariki wako huku wanajituma kuliko maelezo na tunafaidi sana kiuchumi, rais wetu mwenyewe alishasema mwana Afrika mashariki yeyote ajihisi kama Mkenya, anahitaji tu kitambulisho basi.
Wewe ndiye nonsense in the present run n long run too. Kaisome UN Charter chapter 6 na 7 inasemaje utaelewa. Kuna wakati Cohersion and Excessive Power is needed to resolve some stupid problemsHili tatizo sio rahisi kama unavyolisemea hapa....
Unawacheka Wakenya wakati Kariakoo kuna Wachina walishachinjwa sometimes ago...
Issue hapa sio eti tuwafanyie nini au tuwachukulie hatua gani maana ninaona ni solution ya jino kwa jino which is nonsense in a long run!
Nadhani ni suala la kuelimisha wanasiasa na wananchi wetu mpaka waelewe...
Naona ni ignorance on both sides...wananchi bado hawajajua maana ya soko huria na maana ya competition!
Ni elimu tu hapa!
Sio kwamba Tanzania au UG au RW ni bora sana katika kuruhusu biashara huria,nao ni wabovu vilevile...ni kuelimisha EA yote mpaka kila mtu aelewe!
Kama kawaida yenu kujiteteaKama nakumbuka vizuri baada ya Jiwe kuapishwa kama rais alianza kwa kuwafurusha wakenya huko Tz. Siungi mkono tamko la Jaguar, kwa maoni yangu, wale ambao sio waafrika ndio tunafaa kuwafurusha. Omba omba wa kitanzania wametapakaa kwenye miji ya Kenya. Machangudoa na wachuuzi pia kutoka Tz wapo wengi sana Kenya ila wakenya huwa hawana bifu nao.
Una akili nyingi saana
Tumieni sheria na taratibu za nchi menu kuwatoa nchini kama wanaishi na kufanyakazi kinyume na sheria, ndivyo alivyofanya Magufuli, kinyume cha hapo ni ukiukwaji wa sheria, hatutovumilia.Kama nakumbuka vizuri baada ya Jiwe kuapishwa kama rais alianza kwa kuwafurusha wakenya huko Tz. Siungi mkono tamko la Jaguar, kwa maoni yangu, wale ambao sio waafrika ndio tunafaa kuwafurusha. Omba omba wa kitanzania wametapakaa kwenye miji ya Kenya. Machangudoa na wachuuzi pia kutoka Tz wapo wengi sana Kenya ila wakenya huwa hawana bifu nao.
Ahhahaha wajifanye kama wanajikunasi huwa wanasema watz ni wavivu. wanasema kazi yetu ni kuombaomba tu kwenye mitaa ya nairobi. sasa imekuwaje tena wanatuhofia na kudai kuwa tumechukua biashara zao?.
Yaan kwakifupi kuliko kuvunja jumuiya nzima kwa sababu ya nchi moja ni bora Kenya ivuliwe uanachama wa jumuiya ya afrika ya mashiriki kwani technically watakaobaki ni wale wanaotumia bandari yetu na tunaelewana sana