Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Huyu dogo kasahau kuwa Wa-TZ ndio walimpa umaarufu baada ya kufanya collabo na AY ndio akaanza kujulikana kama msanii
 
Nilitaka kukuita Qu.m@ lkn ngoja nikuache tu.
😀 😀 haijalishi sitakuwa wa kwanza.... ukiona mtu anatukana unajua kuna jambo limekita mahala. Tujibizane kwa hoja!
lakini kwanini tujipendekeze kwao? Tabia za kujipendekeza pendekeza huzaa kudharauliwa..
 
Mkuu tutanuka uvundo... maana kila sabuni ni ya Kenya dawa za mswaki vivyo hivyo... kuna mahala tunakwama "wanyonge!!"
 
Kuna moja tunafanya nae kazi. Nimemwambia akae macho akisikia wamwlianzisha year atoke nduki maana nitaanza na yeye
 
Hata Githurai huwa napita nikienda kwetu kijijini, naona unajua maeneo maeneo ya huku, utakua umewavurga dada zetu wewe.
ukiwa unaenda kwenu, ukifika pale ruilu msalimie yule mama wa kiluhya muuza matunda pale pembeni ya barabara.
 

Ahaaa haaa haaa
Hapana yule ni chizi.
 
Wakenya tangu enzi za Charles Njonjo na East Africa Community iliyokufa 1977 hawajawahi kuwa waadilifu kwa majirani zao. Wakenya wanaona jirani zao ni wajinga na wanaweza wakawaghiribu vyovyote watakavyotaka. Walishagombana na Uganda Kuhusu Visiwa kwenye ZiwaVictoria ,wamegombana na Tanzania Kuhusu mpaka na hata uhalali wa Mlima Kilimanjaro na maeneo ya kuvua baharini. Wamegombana na Somalia na hata Ethiopia hawana ukaribu. Swali ni je kwa nini wao tu?! Ni vyema wakafunzwa somo kwa nchi nyingine nazo zikawafurusha Wakenya kutoka nchi zao. Naamini majirani hao wataishi bila Kenya.
 
SERIKALI ya Kenya pia lazima iongee KITU kuhusu hilo.
 
Watanzania tunajidhalilisha. Yaani akiongea mbunge tayari inakuwa ni tamko la serikali? Kwa hiyo Lusinde akisema hawataki Wachina kule Mtera, ichukuiwe kwamba Watanzania wamewafukuza Wachina? Ndio maana tunachekwa kwa ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…