Jaguar Wamezindua rasmi Jaguar Type 01 GT ya Umeme. Very Luxury ila Expensive!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Jaguar Wamezindua Jaguar Type 01 Luxury Electric GT, yenye zaidi ya 1,000 HP.
1600.jpg

Type 01 inakuja na motor tatu, moja mbele na nyuma mbili, kwahiyo ni AWD.
1597.jpg

Ina acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 3, na top speed ya 241 km/h.
1601.webp

Inakuja na battery kubwa la 118 kWh, ikiwa chini ya 850V architecture, inayokupa Max range ya hadi Kilometa 700 na fast charge unaweza kujaza hadi Kilometa 350 kwa dakika 13.
1602.jpg

Ni gharama, top model inafika $190k, ila standard/base unapata kwa 130k.
 
Jaguar Wamezindua Jaguar Type 01 Luxury Electric GT, yenye zaidi ya 1,000 HP.
View attachment 3686467
Type 01 inakuja na motor tatu, moja mbele na nyuma mbili, kwahiyo ni AWD.
View attachment 3686468
Ina acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 3, na top speed ya 241 km/h.
View attachment 3686469

View attachment 3686470

Weka picha likiwa kwenye barabara ya vumbi kama ya Sikonge kwenda Chunya
 
Mnanichekesha sana kama passo inaenda kwenye vumbi sembuse hiyo mashine yenye hp za Scania ni hatuna hiyo hela sababu kibao mimi nimekubali hizo ntaendelea kuzisoma kwa max wacha niendelee na ma hilux yangu tu na ranger ila sio huku kwa sababu ya mfuko..
 
Jaguar Wamezindua Jaguar Type 01 Luxury Electric GT, yenye zaidi ya 1,000 HP.
View attachment 3686467
Type 01 inakuja na motor tatu, moja mbele na nyuma mbili, kwahiyo ni AWD.
View attachment 3686468
Ina acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 3, na top speed ya 241 km/h.
View attachment 3686469
Inakuja na battery kubwa la 118 kWh, ikiwa chini ya 850V architecture, inayokupa Max range ya hadi Kilometa 700 na fast charge unaweza kujaza hadi Kilometa 350 kwa dakika 13.
View attachment 3686470
Ni gharama, top model inafika $190k, ila standard/base unapata kwa 130k.
Imekuwaje wameshindwa kuweka dasboard kali kama za wachina? Big display, sio kuweka hapo kati kama simu vile
 
Jaguar Wamezindua Jaguar Type 01 Luxury Electric GT, yenye zaidi ya 1,000 HP.
View attachment 3686467
Type 01 inakuja na motor tatu, moja mbele na nyuma mbili, kwahiyo ni AWD.
View attachment 3686468
Ina acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 3, na top speed ya 241 km/h.
View attachment 3686469
Inakuja na battery kubwa la 118 kWh, ikiwa chini ya 850V architecture, inayokupa Max range ya hadi Kilometa 700 na fast charge unaweza kujaza hadi Kilometa 350 kwa dakika 13.
View attachment 3686470
Ni gharama, top model inafika $190k, ila standard/base unapata kwa 130k.
Mad Max katika ubora wako.
Nakuaminia sana kwenye hii fani.

Wacha tuendelee kula kwa macho....watanunua wajukuu.
 
Au tusubirie used mzee. Maana hizi EV Bei zina drop vibaya. Utakuta baada ya miaka 2 iyo ya $130k inauzwa $70k. Imagine miaka 10 ijayo.
 
Back
Top Bottom