Ukinunua toka SA ni LHD kwa Tanzania na kodi yake si yapo kwenye kundi la anasa tafsiri ya Luxury kuwa anasa sio sawa kwenye magari..Hizi masta zitashuka Bei. Au tutacheki alternative za Kichina. Ubaya wa Mchina LHD
Gari inakusaidia kwenye shughuli zako za kila siku za kupata kodi uwalipe inakuaje anasa tena ndio inafanya gari za kawaida kama Fortuner kuwa na kodi kubwa.Na TRA wakisikia anasa wanakua wakali.
Labda wanaona Magari mengi foleni. Unajua mtu ukikaa Dar unaona Tanzania Kuna Magari mengi, ila ukienda mikoani ndio utakua kwamba hamna Magari kabisa, yaani kweupeee, hamna kabisaGari inakusaidia kwenye shughuli zako za kila siku za kupata kodi uwalipe inakuaje anasa tena ndio inafanya gari za kawaida kama Fortuner kuwa na kodi kubwa.
Magari mengi wapi Mkuu wakati watu tunajificha kwenye boda boda na bajaji..Labda wanaona Magari mengi foleni. Unajua mtu ukikaa Dar unaona Tanzania Kuna Magari mengi, ila ukienda mikoani ndio utakua kwamba hamna Magari kabisa, yaani kweupeee, hamna kabisa
Nasikia wanazihamisha kwenda RHD kwa kama milioni 4 hiviHizi masta zitashuka Bei. Au tutacheki alternative za Kichina. Ubaya wa Mchina LHD
Dar unaweza kukaa road na ukamwambia mtu aina ya gari akasema halifahamu, na baada ya dakika 5 tu likapita gari hilo na ukamuonesha huyo mtu. Mikoani sasa, unaweza kaa hata wiki ndio likapatikana. Mfano hizi za Kichina, kina Jetour, BYD nkLabda wanaona Magari mengi foleni. Unajua mtu ukikaa Dar unaona Tanzania Kuna Magari mengi, ila ukienda mikoani ndio utakua kwamba hamna Magari kabisa, yaani kweupeee, hamna kabisa
Kwani uongo? 😂😂😂Toka hapa
Mkuu, South Africa hizi ngoma za kichina zilizotumika si kuna dealers au showrooms wanaoziuza? Mfano Jetour T2 au Cherry Tiggo 8!Magari mengi wapi Mkuu wakati watu tunajificha kwenye boda boda na bajaji..
Kwa wapenda SUV basi kamata DenzaGari ina muonekano mbaya, afu iko chini sana, inaniudhi mie. Aaah.
Em weka picha ya Denza, nione huenda nikavunja kibubu nivute hilo dude.Kwa wapenda SUV basi kamata Denza
Zipo nyingi sana tu mkuu naposema nyingi zipo nyingi kweli mpaka za ajali zipo ukitaka ukanyoshe huko kwa kununua parts mpya unaendelea na maisha.Mkuu, South Africa hizi ngoma za kichina zilizotumika si kuna dealers au showrooms wanaoziuza? Mfano Jetour T2 au Cherry Tiggo 8!
Hili hapa dudeEm weka picha ya Denza, nione huenda nikavunja kibubu nivute hilo dude.
Hizi foleni za Dar zinatudanganya. Magari Kuna baadhi ya sehemu hamna. TRA wangelegeza kila mtu amiliki gari tu.Dar unaweza kukaa road na ukamwambia mtu aina ya gari akasema halifahamu, na baada ya dakika 5 tu likapita gari hilo na ukamuonesha huyo mtu. Mikoani sasa, unaweza kaa hata wiki ndio likapatikana. Mfano hizi za Kichina, kina Jetour, BYD nk