😄😂😆😅Unyama sana ,Chivayo angenunua hii kama angekuwepo.
Unaliita tuHaya magari yako madmax nitabaki kuyaangalia kwenye nyuzi zako tu maana kufika kwetu sio leo wala kesho..
Weka picha likiwa kwenye barabara ya vumbi kama ya Sikonge kwenda ChunyaJaguar Wamezindua Jaguar Type 01 Luxury Electric GT, yenye zaidi ya 1,000 HP.
View attachment 3686467
Type 01 inakuja na motor tatu, moja mbele na nyuma mbili, kwahiyo ni AWD.
View attachment 3686468
Ina acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 3, na top speed ya 241 km/h.
View attachment 3686469
Inakuja na battery kubwa la 118 kWh, ikiwa chini ya 850V architecture, inayokupa Max range ya hadi Kilometa 700 na fast charge unaweza kujaza hadi Kilometa 350 kwa dakika 13.
View attachment 3686470
Ni gharama, top model inafika $190k, ila standard/base unapata kwa 130k.
Mnanichekesha sana kama passo inaenda kwenye vumbi sembuse hiyo mashine yenye hp za Scania ni hatuna hiyo hela sababu kibao mimi nimekubali hizo ntaendelea kuzisoma kwa max wacha niendelee na ma hilux yangu tu na ranger ila sio huku kwa sababu ya mfuko..Weka picha likiwa kwenye barabara ya vumbi kama ya Sikonge kwenda Chunya
Imekuwaje wameshindwa kuweka dasboard kali kama za wachina? Big display, sio kuweka hapo kati kama simu vileJaguar Wamezindua Jaguar Type 01 Luxury Electric GT, yenye zaidi ya 1,000 HP.
View attachment 3686467
Type 01 inakuja na motor tatu, moja mbele na nyuma mbili, kwahiyo ni AWD.
View attachment 3686468
Ina acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 3, na top speed ya 241 km/h.
View attachment 3686469
Inakuja na battery kubwa la 118 kWh, ikiwa chini ya 850V architecture, inayokupa Max range ya hadi Kilometa 700 na fast charge unaweza kujaza hadi Kilometa 350 kwa dakika 13.
View attachment 3686470
Ni gharama, top model inafika $190k, ila standard/base unapata kwa 130k.
Mad Max katika ubora wako.Jaguar Wamezindua Jaguar Type 01 Luxury Electric GT, yenye zaidi ya 1,000 HP.
View attachment 3686467
Type 01 inakuja na motor tatu, moja mbele na nyuma mbili, kwahiyo ni AWD.
View attachment 3686468
Ina acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 3, na top speed ya 241 km/h.
View attachment 3686469
Inakuja na battery kubwa la 118 kWh, ikiwa chini ya 850V architecture, inayokupa Max range ya hadi Kilometa 700 na fast charge unaweza kujaza hadi Kilometa 350 kwa dakika 13.
View attachment 3686470
Ni gharama, top model inafika $190k, ila standard/base unapata kwa 130k.
Tutabaki kutaangalia tu kwenye mitandao ila kugusa rami zetu huku ni ndotoHaya magari yako madmax nitabaki kuyaangalia kwenye nyuzi zako tu maana kufika kwetu sio leo wala kesho..
Zitagusa zikienda Zambia,DRC au Zimbabwe.Tutabaki kutaangalia tu kwenye mitandao ila kugusa rami zetu huku ni ndoto