Jah Prayzah ft Diamond collabo kali zaidi ya mwaka huu

Nyombo nzuri ila Zimbabwe inaonekana hakuna mikwaju mikali....[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
nenda waambie waaje, waje ooooh waje, waje[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
waje na rafiki zao, akina wema sepetu na fetty waje,
 

Kweli bonge la ngoma, hilo
Hicho ni kishona

Watora Mari= Umechukua pesa, hapa anamuelezea huyo dada ndio kachuka pesa
Tora = kuchukua, Watora =Umechukua
Mari= Mali, lakini tafsiri sahihi ni pesa

Kipande cha Diamond kinasema hivi
Ndadambuka (moyo)kunge ndandi= nimechanika (moyo) kama elastic (mpira)
Inini Handichagoni kusaoma moyo kunge njanji= Mimi siwezi kuwa na moyo (mgumu) kama reli

geranteeh , adamtupa92 , pumzihaiuzwi , eddy , samsun , brave one
 
hii lugha mbona kama kinyakyusa?
 
Asante sana mkuu kwa hii tafsiri,hii ngoma huyo jamaa akiipa promo vizuri itafanya poa sana uko kwao.
 
Aisee am speechless!! Dee nakumbuka uliwahi kusema kuwa unafanya kazi kwa bidii ili watu kitaa wakibishana kati yako na akina wizkid nani mkali hata watanzania wakikutetea wewe ni noma zaidi basi wakutetea kwa kuwa kweli
unafanya kazi nzuri.. Sasa nimeelewa ulikuwa na maana gani!!

Naomba ninukuu tena maneno yako ambayo umekuwa unayasema kila mara siku za hivi karibuni; "..naomba mniombee, mindhali niko hai mziki wetu utafika tunapotaka.."

Tanzania tunakupenda na tunakuombea!! Keep on shining..
 
mie naona collabo ya Psquare nayo imeenda shule, ziara ya zimbabwe hiyo show itabidi iambatane na uzinduzi wa ndege mpya ya ATCL tunaenda na pipa letu baada ya show tunarudi nalo, pia afanye ziara ya Gabon Benin na Ghana.
Ha! Ha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…