George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Yap...Uyo prayzah ni mzimbamwe? Wimbo mzuri sana,hongera chibu
Ni Mzimbabwe..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap...Uyo prayzah ni mzimbamwe? Wimbo mzuri sana,hongera chibu
Daaah hii ngoma ni hatarii bonge la pu×××
[emoji445][emoji445][emoji445]Sikuhiz kidigitali unapata ambacho unakionaa
Yanini hosipital wakat kwako napooonaaa" [emoji445][emoji445][emoji445]
Chibu jini
kibakuliSwali: Nani analazimisha kipaji..!?[/SIZE]
Mmmh...kibakuli
nenda waambie waaje, waje ooooh waje, waje[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]Mmmh...
Ngoja waje..!!!
Mbona KAZI unayo leo..!
HA HA HA HA HA HAA MAAAAMAE. HII KALI😀😀😀😀😀😀Acha atusaidie tena bora angeenda olimpic huyu tungepata medal
waje na rafiki zao, akina wema sepetu na fetty waje,nenda waambie waaje, waje ooooh waje, waje[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Bonge moja la ngoma, Chibu sijui Kizimbabwe kajifunza lini, Wazimbabwe wamependa kuona msanii mkubwa Africa kutoka Tanzania anaimba Kizimbabwe. Siku Diamond akipiga show Zimbabwa hadi Mgabe atakua ndani ya nyumba. Kwa level hizi sidhani kama Clouds watafika dau la Diamond Fiesta.
hii lugha mbona kama kinyakyusa?Kweli bonge la ngoma, hilo
Hicho ni kishona
Watora Mari= Umechukua pesa, hapa anamuelezea huyo dada ndio kachuka pesa
Tora = kuchukua, Watora =Umechukua
Mari= Mali, lakini tafsiri sahihi ni pesa
Kipande cha Diamond kinasema hivi
Ndadambuka (moyo)kunge ndandi= nimechanika (moyo) kama elastic (mpira)
Inini Handichagoni kusaoma moyo kunge njanji= Mimi siwezi kuwa na moyo (mgumu) kama reli
geranteeh , adamtupa92 , pumzihaiuzwi , eddy , samsun , brave one
Asante sana mkuu kwa hii tafsiri,hii ngoma huyo jamaa akiipa promo vizuri itafanya poa sana uko kwao.Kweli bonge la ngoma, hilo
Hicho ni kishona
Watora Mari= Umechukua pesa, hapa anamuelezea huyo dada ndio kachuka pesa
Tora = kuchukua, Watora =Umechukua
Mari= Mali, lakini tafsiri sahihi ni pesa
Kipande cha Diamond kinasema hivi
Ndadambuka (moyo)kunge ndandi= nimechanika (moyo) kama elastic (mpira)
Inini Handichagoni kusaoma moyo kunge njanji= Mimi siwezi kuwa na moyo (mgumu) kama reli
geranteeh , adamtupa92 , pumzihaiuzwi , eddy , samsun , brave one
hii lugha mbona kama kinyakyusa?
Ha! Ha!mie naona collabo ya Psquare nayo imeenda shule, ziara ya zimbabwe hiyo show itabidi iambatane na uzinduzi wa ndege mpya ya ATCL tunaenda na pipa letu baada ya show tunarudi nalo, pia afanye ziara ya Gabon Benin na Ghana.