Jahazi la Natenyahu lazidi kwenda Mrama

Jahazi la Natenyahu lazidi kwenda Mrama

Netanyahu baado haamin kua wanamgambo mpala leo hii bado wanawapeleka makomandoo wa iDF kuzimu licha ya misaada ya makombora na mabomu ya kila aina anayopewa na US

1. Na Bado!

2. Mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya iddi!
 
Sawa ila ni kiboko ya magaidi
wenye upeo wa kikobaaz wanafikiri Israel ni sawa na nchi zingine ile ndo makao makuu ya Mungu hapa duniani (wakati huhuo kobaaz na wao waking'ang'ania yawe makao ya shetani kupitia uzao wa ishmael) na ndo prophetic clock of world end times/events so kuna events zinatokea sio sababu ya mtu ni spiritual realm imeamua. Hakuna kiongozi yeyote atakayekuja kutawala Israel then akawa na ushirika mchafu na palestinian na ukadumu hiyo haipo, atakuja anti christ ataingia agano chafu na Israel na hakika halitadumu maana ndani ya miaka 7 litavunjika na Yesu atakuja kutawala dunia nzima akitokea Israel.
 
Netanyahu ni kiburi ndicho ambacho kinamgharimu. Kipindi cha Bill Clinton mwaka 1996 wakati huo Netanyahu ni waziri mkuu wa Israel alienda kutembelea ikulu ya Marekani.

Baada ya kufika ikulu ya Whitehouse rais wa kipindi hicho Bw. Clinton, Bw. Netanyahu alitumia muda wake kuifahamisha ikulu ya Marekani anawapa somo kuwa malengo ya Israel ni nini na mustakabali wake hapo mashariki ya kati.

Baada ya kumaliza hotuba yake aliondoka palepale mbele wakati hata rais wa US Bw. Clinton hajaongea kwa upande wake. Alimuacha palepale Clinton mbele ya baraza lake. Yeye kaondoka. Yaani yeye kafika Whitehouse kutoa lecture kisha kaondoka. Clinton alichukizwa sana!

Akazungumza na kiingereza Chao cha kile wamarekani wakikasirika. "Who the ------does he think he is? Who's the ------superpower here?"😁

Kipindi cha utawala wa Barack Obama aliingia Marekani kisha akatembelea bunge la seneti pasipo kutoa taarifa yoyote kwenye ofisi ya rais. Hakuishia hapo akatoa na hotuba. Obama alimaindi sana na alimchana wazi kwa kiburi na dharau zake. Yaani unafika nchini kwangu unajiamulia mambo unavyotaka tu?! Hii ni dharau.

Na kama kawaida maazimio juu ya Israel kwenye baraza la UN Obama akabana hakuna kutumia kura ya veto akaliacha gongo likapita kwa israeli waaaa!

Huyo jamaa ni jeuri na kiburi. Ila akimuona Putin anamheshimu kweli kweli. Ujinga wa namna hiyo huwa anaishia kuufanya USA.

Halafu yupo madarakani muda mrefu tangu mwaka 1996 kwa cheo hicho hicho cha waziri mkuu. Anagombania kisha anasimama. Halafu anagombania tena.
Marekani inahitaji kukombolewa
 
1. Zingatia hao ni aliothubutu kukiri yeye mwenyewe.

2. Bila kusahau taarifa za vifo vya askari vitani, kimkakati ni siri.

3. Kwa hakika hapo hata ukifanya x3 yaweza kuwa Bado ni Kwa makisio ya chini.
Hapo kabla ya kuingia Iran.Mara ngapi wanasaema wameshamaliza kazi kumbe bado.
akiingia Iran akadondosha vitu tel Aviv watakimbizana wote.
 
Hapo kabla ya kuingia Iran.Mara ngapi wanasaema wameshamaliza kazi kumbe bado.
akiingia Iran akadondosha vitu tel Aviv watakimbizana wote.
Yes wakifanya hivyo lazima warudi wote kuotoka gaza
 
1. Mkuu nitambue kuwa wewe na huyo mwamba mko nje kabisa ya mada.

2. Zingatia huyo mwamba anongelea uislam na waislam katika maana yake (kwa mtazamo wake) kama vitu viwili tofauti.

3. Hapo #2 hilo lililopo hapo, ni suala la kidini mahsusi kwenye jukwaa lake la kidini huko.

4. Kama yeye ni evangelical, mwokovu au msomi tu; akakutane wanazuoni wa aina yake huko kina: Prof. Shivji, Lissu, Kibatala FaizaFoxy, Malaria 2, Alwaz, Ritz, na waina hiyo mahsusi kwa ajili ya dozi kamili.

5. Hapo #4, sisi wengine tunatambua mgogoro huu hauna cha kufanya na dini:

IMG_1567.jpg

6. Kwamba huu ni ukoloni kama ukoloni mwingine wowote uliowahi kuwa pande za kwetu, unaopswa kupingwa vilivyo na kila mpigania haki.

7. Tukichanganya changanya haya mambo tutakuwa kama mapoyoyo mengine tu ya aina za kina MK254, Moisemusajiografii (Moise Katumbi) au wa namna hiyo.
 
Israel inawalazimu wawe na itikadi hizohizo za Netanyahu ili kuhakikisha wanakuwa salama!

Huwezi mtu uwe katikati ya mataifa korofi na yanayotamani kuangamiza taifa lako lote kwa muda wowote halafu uwe wa kuchekacheka hovyo! Huo ni upimbi

Na waisrael wote hata akiondoka Netanyahu na aje mwingine, madamu ni mwisraeli, hawezi kuwa kama mnavyotamani nyinyi watu wa mnyaazi mungu
 
1. Kwa hiyo ndugu hilo nyomi linalopingana na itikiadi za Natenyahu na kumtaka kuondoka, ni mawazo yako kuwa limepotoka?

2. Au labda unadhani humo ni wapalestina au ni vibaraka wao?

3. Kwani wewe hutamani haki au amani baina ya watu wakiwamo hawa?
 
1. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu:

View attachment 2956135

2. Kipi kina thamani kuliko maisha ya binadamu hata mmoja tu, yakiokolewa?

View attachment 2956137

3. Ndiyo maana imeandikwa: "ni furaha kuu mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu."

4. Kwamba maisha ya wasio na hatia si kitu wala si lolote kwa Natenyahu?

View attachment 2956166

5. Anataka suluhu ipi huyu?

6. Kwa hakika aondoke sasa akafie mbali huko, Binyamin Natenyahu!

7. Mapatano ya Israel na HAMAS na kuondoka kwa m-sayuni huyu mwenye itikiadi zisizokubalika, ni sasa!
Mihemko hiyo
 
Netanyahu ni kiburi ndicho ambacho kinamgharimu. Kipindi cha Bill Clinton mwaka 1996 wakati huo Netanyahu ni waziri mkuu wa Israel alienda kutembelea ikulu ya Marekani.

Baada ya kufika ikulu ya Whitehouse rais wa kipindi hicho Bw. Clinton, Bw. Netanyahu alitumia muda wake kuifahamisha ikulu ya Marekani anawapa somo kuwa malengo ya Israel ni nini na mustakabali wake hapo mashariki ya kati.

Baada ya kumaliza hotuba yake aliondoka palepale mbele wakati hata rais wa US Bw. Clinton hajaongea kwa upande wake. Alimuacha palepale Clinton mbele ya baraza lake. Yeye kaondoka. Yaani yeye kafika Whitehouse kutoa lecture kisha kaondoka. Clinton alichukizwa sana!

Akazungumza na kiingereza Chao cha kile wamarekani wakikasirika. "Who the ------does he think he is? Who's the ------superpower here?"😁

Kipindi cha utawala wa Barack Obama aliingia Marekani kisha akatembelea bunge la seneti pasipo kutoa taarifa yoyote kwenye ofisi ya rais. Hakuishia hapo akatoa na hotuba. Obama alimaindi sana na alimchana wazi kwa kiburi na dharau zake. Yaani unafika nchini kwangu unajiamulia mambo unavyotaka tu?! Hii ni dharau.

Na kama kawaida maazimio juu ya Israel kwenye baraza la UN Obama akabana hakuna kutumia kura ya veto akaliacha gongo likapita kwa israeli waaaa!

Huyo jamaa ni jeuri na kiburi. Ila akimuona Putin anamheshimu kweli kweli. Ujinga wa namna hiyo huwa anaishia kuufanya USA.

Halafu yupo madarakani muda mrefu tangu mwaka 1996 kwa cheo hicho hicho cha waziri mkuu. Anagombania kisha anasimama. Halafu anagombania tena.

1. Mbwa ukimwendekeza atakufata hadi madhabahuni.

2. Marekani anakuja kukumbuka shuka kukiwa kumekucha:

a) Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!

b) Ex-CIA Chief Panetta: IDF hutekeleza majukumu yao kama Wenda wazimu

c)

IMG_20240405_064225.jpg
 
Tatizo hujui kuwa hujui

1. Kwa hiyo wewe "unajua" kuwa "unajua" na hivyo "uko vizuri."

2. Kama wewe mliangaziwa sana na kwa kweli:

Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.

3. Uzi huu chini haukuwabakiza:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

4. Kwa hakika umejisemea mwenyewe.
 
Unathibitisha niliyoyasema. Sijasema mimi najua, ila nimesema wewe hujui kuwa hujui
 
Unathibitisha niliyoyasema. Sijasema mimi najua, ila nimesema wewe hujui kuwa hujui

1. Unathibitisha niliyoyasema, vipi kumshutumu mwingine kwa lisilokuhusu wewe?

2. Usemeje sijui kama nawe hujui? Basi bila shaka pia unasema kuwa unajua!

3. Hii kimahesabu inaitwa by contrapositive.
 
Unathibitisha niliyoyasema vipi kumshutumu mwingine kwa lisilokuhusu wewe?

Usemeje sijui kama nawe hujui? Basi bila shaka pia unasema kuwa unajua! Hii kimahesabu inaitwa by contrapositive.
Naamini ni inverse contrapositive au siyo cocastic
 
Waislamu mnashangaza sana, kawasaidieni wenzenu
 
Hapo kabla ya kuingia Iran.Mara ngapi wanasaema wameshamaliza kazi kumbe bado.
akiingia Iran akadondosha vitu tel Aviv watakimbizana wote.

1. Iran alipowafikisha (psychological warfare) inawala kuliko vita kamili.

2. Walipo wanaviogopa hata vivuli vyao.
 
Back
Top Bottom