- Thread starter
- #21
Netanyahu baado haamin kua wanamgambo mpala leo hii bado wanawapeleka makomandoo wa iDF kuzimu licha ya misaada ya makombora na mabomu ya kila aina anayopewa na US
1. Na Bado!
2. Mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya iddi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Netanyahu baado haamin kua wanamgambo mpala leo hii bado wanawapeleka makomandoo wa iDF kuzimu licha ya misaada ya makombora na mabomu ya kila aina anayopewa na US
wenye upeo wa kikobaaz wanafikiri Israel ni sawa na nchi zingine ile ndo makao makuu ya Mungu hapa duniani (wakati huhuo kobaaz na wao waking'ang'ania yawe makao ya shetani kupitia uzao wa ishmael) na ndo prophetic clock of world end times/events so kuna events zinatokea sio sababu ya mtu ni spiritual realm imeamua. Hakuna kiongozi yeyote atakayekuja kutawala Israel then akawa na ushirika mchafu na palestinian na ukadumu hiyo haipo, atakuja anti christ ataingia agano chafu na Israel na hakika halitadumu maana ndani ya miaka 7 litavunjika na Yesu atakuja kutawala dunia nzima akitokea Israel.Sawa ila ni kiboko ya magaidi
Marekani inahitaji kukombolewaNetanyahu ni kiburi ndicho ambacho kinamgharimu. Kipindi cha Bill Clinton mwaka 1996 wakati huo Netanyahu ni waziri mkuu wa Israel alienda kutembelea ikulu ya Marekani.
Baada ya kufika ikulu ya Whitehouse rais wa kipindi hicho Bw. Clinton, Bw. Netanyahu alitumia muda wake kuifahamisha ikulu ya Marekani anawapa somo kuwa malengo ya Israel ni nini na mustakabali wake hapo mashariki ya kati.
Baada ya kumaliza hotuba yake aliondoka palepale mbele wakati hata rais wa US Bw. Clinton hajaongea kwa upande wake. Alimuacha palepale Clinton mbele ya baraza lake. Yeye kaondoka. Yaani yeye kafika Whitehouse kutoa lecture kisha kaondoka. Clinton alichukizwa sana!
Akazungumza na kiingereza Chao cha kile wamarekani wakikasirika. "Who the ------does he think he is? Who's the ------superpower here?"😁
Kipindi cha utawala wa Barack Obama aliingia Marekani kisha akatembelea bunge la seneti pasipo kutoa taarifa yoyote kwenye ofisi ya rais. Hakuishia hapo akatoa na hotuba. Obama alimaindi sana na alimchana wazi kwa kiburi na dharau zake. Yaani unafika nchini kwangu unajiamulia mambo unavyotaka tu?! Hii ni dharau.
Na kama kawaida maazimio juu ya Israel kwenye baraza la UN Obama akabana hakuna kutumia kura ya veto akaliacha gongo likapita kwa israeli waaaa!
Huyo jamaa ni jeuri na kiburi. Ila akimuona Putin anamheshimu kweli kweli. Ujinga wa namna hiyo huwa anaishia kuufanya USA.
Halafu yupo madarakani muda mrefu tangu mwaka 1996 kwa cheo hicho hicho cha waziri mkuu. Anagombania kisha anasimama. Halafu anagombania tena.
Hapo kabla ya kuingia Iran.Mara ngapi wanasaema wameshamaliza kazi kumbe bado.1. Zingatia hao ni aliothubutu kukiri yeye mwenyewe.
2. Bila kusahau taarifa za vifo vya askari vitani, kimkakati ni siri.
3. Kwa hakika hapo hata ukifanya x3 yaweza kuwa Bado ni Kwa makisio ya chini.
Yes wakifanya hivyo lazima warudi wote kuotoka gazaHapo kabla ya kuingia Iran.Mara ngapi wanasaema wameshamaliza kazi kumbe bado.
akiingia Iran akadondosha vitu tel Aviv watakimbizana wote.
Israel inawalazimu wawe na itikadi hizohizo za Netanyahu ili kuhakikisha wanakuwa salama!
Huwezi mtu uwe katikati ya mataifa korofi na yanayotamani kuangamiza taifa lako lote kwa muda wowote halafu uwe wa kuchekacheka hovyo! Huo ni upimbi
Na waisrael wote hata akiondoka Netanyahu na aje mwingine, madamu ni mwisraeli, hawezi kuwa kama mnavyotamani nyinyi watu wa mnyaazi mungu
Yes wakifanya hivyo lazima warudi wote kuotoka gaza
Mihemko hiyo1. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu:
View attachment 2956135
2. Kipi kina thamani kuliko maisha ya binadamu hata mmoja tu, yakiokolewa?
View attachment 2956137
3. Ndiyo maana imeandikwa: "ni furaha kuu mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu."
4. Kwamba maisha ya wasio na hatia si kitu wala si lolote kwa Natenyahu?
View attachment 2956166
5. Anataka suluhu ipi huyu?
6. Kwa hakika aondoke sasa akafie mbali huko, Binyamin Natenyahu!
7. Mapatano ya Israel na HAMAS na kuondoka kwa m-sayuni huyu mwenye itikiadi zisizokubalika, ni sasa!
Netanyahu ni kiburi ndicho ambacho kinamgharimu. Kipindi cha Bill Clinton mwaka 1996 wakati huo Netanyahu ni waziri mkuu wa Israel alienda kutembelea ikulu ya Marekani.
Baada ya kufika ikulu ya Whitehouse rais wa kipindi hicho Bw. Clinton, Bw. Netanyahu alitumia muda wake kuifahamisha ikulu ya Marekani anawapa somo kuwa malengo ya Israel ni nini na mustakabali wake hapo mashariki ya kati.
Baada ya kumaliza hotuba yake aliondoka palepale mbele wakati hata rais wa US Bw. Clinton hajaongea kwa upande wake. Alimuacha palepale Clinton mbele ya baraza lake. Yeye kaondoka. Yaani yeye kafika Whitehouse kutoa lecture kisha kaondoka. Clinton alichukizwa sana!
Akazungumza na kiingereza Chao cha kile wamarekani wakikasirika. "Who the ------does he think he is? Who's the ------superpower here?"😁
Kipindi cha utawala wa Barack Obama aliingia Marekani kisha akatembelea bunge la seneti pasipo kutoa taarifa yoyote kwenye ofisi ya rais. Hakuishia hapo akatoa na hotuba. Obama alimaindi sana na alimchana wazi kwa kiburi na dharau zake. Yaani unafika nchini kwangu unajiamulia mambo unavyotaka tu?! Hii ni dharau.
Na kama kawaida maazimio juu ya Israel kwenye baraza la UN Obama akabana hakuna kutumia kura ya veto akaliacha gongo likapita kwa israeli waaaa!
Huyo jamaa ni jeuri na kiburi. Ila akimuona Putin anamheshimu kweli kweli. Ujinga wa namna hiyo huwa anaishia kuufanya USA.
Halafu yupo madarakani muda mrefu tangu mwaka 1996 kwa cheo hicho hicho cha waziri mkuu. Anagombania kisha anasimama. Halafu anagombania tena.
Mihemko hiyo
Tatizo hujui kuwa hujuiNdivyo walivyokwambia wewe Buza pale?
Tatizo hujui kuwa hujui
Unathibitisha niliyoyasema. Sijasema mimi najua, ila nimesema wewe hujui kuwa hujui1. Kwa hiyo wewe "unajua" kuwa "unajua" na hivyo "uko vizuri."
2. Kama wewe mliangaziwa sana na kwa kweli:
Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.
3. Uzi huu chini haukuwabakiza:
Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko
4. Kwa hakika umejisemea mwenyewe.
Unathibitisha niliyoyasema. Sijasema mimi najua, ila nimesema wewe hujui kuwa hujui
Naamini ni inverse contrapositive au siyo cocasticUnathibitisha niliyoyasema vipi kumshutumu mwingine kwa lisilokuhusu wewe?
Usemeje sijui kama nawe hujui? Basi bila shaka pia unasema kuwa unajua! Hii kimahesabu inaitwa by contrapositive.
Hapo kabla ya kuingia Iran.Mara ngapi wanasaema wameshamaliza kazi kumbe bado.
akiingia Iran akadondosha vitu tel Aviv watakimbizana wote.