Jaji aliyetoa hukumu ya Sabaya tutapataje CV yake? Anasifika Kwa uadilifu ofisini kwake na machoni pa jamii?

CV sio hoja kwani hata CV ya gavana wa BOT Prof.Florens hasitahili kuwa hapo!
 
Watanzania mna nongwa sana, mmeshaanza kumsagia kunguni
 
Unajua maana ya kukiri kisheria? Tunaanzie hapo kwanza!
 
Na gaidi mbona kaachiwa wakati mahakama ilimpata na makosa ya kujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…