Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji
Haitoshi kuheshimu hukumu ya Mahakama inatosha kuitafsiri hukumu hiyo kulingana na matendo ya Mtuhumiwa yaliyoonekana Kwa macho. Pamoja na technicalities zote lakini mtuhumiwa Sabaya alikiri Mbele ya mahakama kwamba alitenda aliyoyatenda Kwa kutumwa na mkubwa wake.
Hii maana yake Nini, hakuna ubishi kwamba alitenda na Kwa mazingira haya hukumu haiwezi kujikita kwenye technicalities Kwa sababu mtuhumiwa anakiri kutenda aliyotuhumiwa nayo. Hoja hapa ni je Mhe. Jaji alipoona mtuhumiwa amekiri alidhani ni nani mwingine anapaswa kuthibitisha vinginevyo? Kwanini Mhe. Jaji asituambie mkuu wa wilaya akitumwa kuua na bosi wake Hii inakuwa Ina immunity?
Niombe Kwa utata huu tupate cv ya jaji huyu itatusaidia kujua ni muadilifu au maelekezo kutoka juu.
Na inasemekana ndiye aliyeshauri kesi ya Gaidi Mbowe kufutwa.Ni jaji wa mahakama kuu Musoma
Ni msabato kama Sabaya
Ni Mtanzania kama Sabaya.
Unajua maana ya kukiri kisheria? Tunaanzie hapo kwanza!Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji
Haitoshi kuheshimu hukumu ya Mahakama inatosha kuitafsiri hukumu hiyo kulingana na matendo ya Mtuhumiwa yaliyoonekana Kwa macho. Pamoja na technicalities zote lakini mtuhumiwa Sabaya alikiri Mbele ya mahakama kwamba alitenda aliyoyatenda Kwa kutumwa na mkubwa wake.
Hii maana yake Nini, hakuna ubishi kwamba alitenda na Kwa mazingira haya hukumu haiwezi kujikita kwenye technicalities Kwa sababu mtuhumiwa anakiri kutenda aliyotuhumiwa nayo. Hoja hapa ni je Mhe. Jaji alipoona mtuhumiwa amekiri alidhani ni nani mwingine anapaswa kuthibitisha vinginevyo? Kwanini Mhe. Jaji asituambie mkuu wa wilaya akitumwa kuua na bosi wake Hii inakuwa Ina immunity?
Niombe Kwa utata huu tupate cv ya jaji huyu itatusaidia kujua ni muadilifu au maelekezo kutoka juu.
Na gaidi mbona kaachiwa wakati mahakama ilimpata na makosa ya kujibu?Nchi hii hakuna haki kabisa, jambawazi kama sabaya na matendo yote yale maovu anaachiwa?
Kubaka! tena wake za watu!
Kukata watu wasikio!
Kupora watu mali zao hadharani!
Huyu anatakiwa sasa ahukumiwe mitaani na wananchi wenye hasira kali kama vibaka wengine!