PostGE2025 Jaji Chande: Tume ya Matukio ya Oktoba 29 inajitegemea kwa kila kitu, hatuna dalali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.

Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Othman Chande, amesema tume hiyo iko huru na haiikingiliwa na mamlaka yoyote, akikanusha madai kuwa muda wa kazi yake umeongezwa ili kuruhusu kuhaririwa kwa ripoti yake.

Tume hiyo iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan Novemba 20, 2025 kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ingawa mpaka sasa imeongezewa muda mara mbili
"Tume inajitegemea kwa kila kitu 'hatuna dalali'. Tume yenyewe ndiyo mhariri, na mamlaka iliyotupa jukumu tutakutana nayo wakati wa kukabidhi ripoti ya mwisho.

Kumekuwa na madai kutoka kwa baadhi ya wadau haswa wanaharakati mitandaoni nchini Tanzania wanaoona kwamba kuongezwa kwa muda wa tume hiyo mara mbili kunalenga kutoa nafasi kwa mamlaka fulani 'kuchakachua' yaliyomo kwenye ripoti hiyo.

Hata hivyo, Jaji Chande alieleza kuwa sababu kuu ya kuongeza muda ni kupanuka kwa wigo wa kazi pamoja na ongezeko la ushahidi unaokusanywa.

Awali tume ilipanga kutembelea mikoa sita, lakini baadala yake wamefika mikoa 11 na wilaya 22.
Vilevile tume imepokea ushahidi mwingi kutoka kwa wananchi na wadau mbalimbali, pamoja na ushauri wa kitaalamu ambao unahitaji kuchambuliwa kwa kina kabla ya kukamilisha ripoti

Jaji Chande amewahakikishia watanzania kuwa hawapaswi kuwa na hofu kuhusu uadilifu wa ripoti hiyo, akisisitiza kuwa tume hiyo inafanya kazi kwa uhuru bila shinikizo la nje.

Tume hiyo iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan Novemba 20, 2025 kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, imeongezewa muda mara mbili.
 
The expected maneno kutoka kwako!
 
Wajinga waliisha endeleeni kuharibu pesa za walipa kodi tu.

Kwa yaliyotokea October 29 kila mtu mwenye akili timamu anajua chanzo, mtoa amri ya mauaji anafahamika na wauaji wanafahamika hivyo hizo shere mnacheza wala hazitutoi katika kweli.

Mpaka siku tena nchi ipigwe moto ndio akili zitawarejea maana ukweli mnauona ila bado mnafumba macho.
 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.

Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.

Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya tume iliyo huru na hii tume ya chande anayoiita tume huru. Tume iliyoundwa na mtuhumiwa, (serikali) na inajumuisha watu waliotumikia serikali hiyo hiyo hivi karibuni haiwezi kuwa huru dhidi ya serikali. Mfano Stergomena Tax juzi tu alikuwa waziri wa ulinzi, na bado anatamani siku moja arudi katika baraza, huyu hawezi kutenda kwa uhuru kwenye hii tume.
 
Ch
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.

Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Chande Chande Chande mbona umeanza kutoa milio kabla hujaguswa????
 
Wajinga waliisha endeleeni kuharibu pesa za walipa kodi tu.

Kwa yaliyotokea October 29 kila mtu mwenye akili timamu anajua chanzo, mtoa amri ya mauaji anafahamika na wauaji wanafahamika hivyo hizo shere mnacheza wala hazitutoi katika kweli.

Mpaka siku tena nchi ipigwe moto ndio akili zitawarejea maana ukweli mnauona ila badi mnafumba macho.
Ni deni hilo litalipwa tu siku moja hata kwa kuchelewa, zitafika tu nyakati pale juu watapunguziwa ulinzi walionao sasa
 
Ni deni hilo litalipwa tu siku moja hata kwa kuchelewa, zitafika tu nyakati pale juu watapunguziwa ulinzi walionao sass
Hawajui wanapanda visasi ambavyo vinaweza kuchukua miaka hata 50 wao wakiamini havitawagusa sababu wana ulinzi wanasahau wataacha watoto na wajukuu wakija kuishi kwa mateso waliyosababisha wao.

Mfano Kizigha na mwanae Elvis kufuru na ufisadi wao ulioanikwa mwezi September na October mwaka jana , Kizigha huyo huyo anakuja kuwa mteule wa serikali haramu katikati ya wingu zito na kukiwa na kauli kwamba hata silaha zilizotumika zilipitishwa katika makontena ya kampuni yake.
 
Mzee Chande wadanganye Wajinga
Yani anadanganya wazi wazi anaposema hajawahi kukutana na Rais toka apewe kazi.

Samia mwenyewe huwa anasema kwenye kazi za tume huwa wanampa drafti, na mara nyingine anawarudisha kwa kutofanya yale aliyowatuma.

Isitoshe, kati ya wajumbe wa Tume wapo watu wa system, wanaripoti mubashara kila paragraph inayoandikwa na kurudisha feedback kutoka Ikulu. Balozi wa South Afrika na mdogo wake Asha Rose ni kati ya hao.
 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.

Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Othman Chande, amesema tume hiyo iko huru na haiikingiliwa na mamlaka yoyote, akikanusha madai kuwa muda wa kazi yake umeongezwa ili kuruhusu kuhaririwa kwa ripoti yake.

Tume hiyo iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan Novemba 20, 2025 kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ingawa mpaka sasa imeongezewa muda mara mbili
"Tume inajitegemea kwa kila kitu 'hatuna dalali'. Tume yenyewe ndiyo mhariri, na mamlaka iliyotupa jukumu tutakutana nayo wakati wa kukabidhi ripoti ya mwisho.

Kumekuwa na madai kutoka kwa baadhi ya wadau haswa wanaharakati mitandaoni nchini Tanzania wanaoona kwamba kuongezwa kwa muda wa tume hiyo mara mbili kunalenga kutoa nafasi kwa mamlaka fulani 'kuchakachua' yaliyomo kwenye ripoti hiyo.

Hata hivyo, Jaji Chande alieleza kuwa sababu kuu ya kuongeza muda ni kupanuka kwa wigo wa kazi pamoja na ongezeko la ushahidi unaokusanywa.

Awali tume ilipanga kutembelea mikoa sita, lakini baadala yake wamefika mikoa 11 na wilaya 22.
Vilevile tume imepokea ushahidi mwingi kutoka kwa wananchi na wadau mbalimbali, pamoja na ushauri wa kitaalamu ambao unahitaji kuchambuliwa kwa kina kabla ya kukamilisha ripoti

Jaji Chande amewahakikishia watanzania kuwa hawapaswi kuwa na hofu kuhusu uadilifu wa ripoti hiyo, akisisitiza kuwa tume hiyo inafanya kazi kwa uhuru bila shinikizo la nje.

Tume hiyo iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan Novemba 20, 2025 kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, imeongezewa muda mara mbili.
The thing is, no one believes you. You [Mr. Chande] probably don’t even believe what you’re saying.

We all know who’s pulling your strings.

And that’s none other than the main perpetrator…..one Samia Suluhu Hassan and her confederates!
 
The thing is, no one believe you. You [Mr. Chande] probably don’t even believe what you’re saying.

Hapo kwenye strings weka balls.
 
Kufanya kazi kama hizo nyakati kama hizi ni stor ngumu sana.
 
Amesema tume haina dalali eeh? Mnafiq mkubwa! Dalali yupo. Dalali mkuu wa tume hii ni mama Samuya. Kwa kuwa anachunguzwa yeye kwa mauaji ya MO29, lazima aiongeze tume muda ili apate nafasi ya kuchakachua ripoti na kuondoa maudhui udhi kama vile serikali yake kuchoma miili ya raia kwenye tanuru la sementi. Mungu anakuona wewe Lucifer Suluhu.
 
The thing is, no one believe you. You [Mr. Chande] probably don’t even believe what you’re saying.

We all know who’s pulling your strings.

And that’s none other than the main perpetrator…..one Samia Suluhu Hassan and her confederates!
You nailed it dude. This is a naked truth, whether lice believe it or not.
 
Unakuta hapo wamejitengea bajeti ya bilioni 60 ili wajichunguze wao wenyewe

Ila jamani😭😭
 
Back
Top Bottom