Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
The expected maneno kutoka kwako!Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.
Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.
Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya tume iliyo huru na hii tume ya chande anayoiita tume huru. Tume iliyoundwa na mtuhumiwa, (serikali) na inajumuisha watu waliotumikia serikali hiyo hiyo hivi karibuni haiwezi kuwa huru dhidi ya serikali. Mfano Stergomena Tax juzi tu alikuwa waziri wa ulinzi, na bado anatamani siku moja arudi katika baraza, huyu hawezi kutenda kwa uhuru kwenye hii tume.Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.
Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Chande Chande Chande mbona umeanza kutoa milio kabla hujaguswa????Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.
Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Ni deni hilo litalipwa tu siku moja hata kwa kuchelewa, zitafika tu nyakati pale juu watapunguziwa ulinzi walionao sasaWajinga waliisha endeleeni kuharibu pesa za walipa kodi tu.
Kwa yaliyotokea October 29 kila mtu mwenye akili timamu anajua chanzo, mtoa amri ya mauaji anafahamika na wauaji wanafahamika hivyo hizo shere mnacheza wala hazitutoi katika kweli.
Mpaka siku tena nchi ipigwe moto ndio akili zitawarejea maana ukweli mnauona ila badi mnafumba macho.
Hawajui wanapanda visasi ambavyo vinaweza kuchukua miaka hata 50 wao wakiamini havitawagusa sababu wana ulinzi wanasahau wataacha watoto na wajukuu wakija kuishi kwa mateso waliyosababisha wao.Ni deni hilo litalipwa tu siku moja hata kwa kuchelewa, zitafika tu nyakati pale juu watapunguziwa ulinzi walionao sass
Yani anadanganya wazi wazi anaposema hajawahi kukutana na Rais toka apewe kazi.Mzee Chande wadanganye Wajinga
The thing is, no one believes you. You [Mr. Chande] probably don’t even believe what you’re saying.Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.
Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Othman Chande, amesema tume hiyo iko huru na haiikingiliwa na mamlaka yoyote, akikanusha madai kuwa muda wa kazi yake umeongezwa ili kuruhusu kuhaririwa kwa ripoti yake.
Tume hiyo iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan Novemba 20, 2025 kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ingawa mpaka sasa imeongezewa muda mara mbili
"Tume inajitegemea kwa kila kitu 'hatuna dalali'. Tume yenyewe ndiyo mhariri, na mamlaka iliyotupa jukumu tutakutana nayo wakati wa kukabidhi ripoti ya mwisho.
Kumekuwa na madai kutoka kwa baadhi ya wadau haswa wanaharakati mitandaoni nchini Tanzania wanaoona kwamba kuongezwa kwa muda wa tume hiyo mara mbili kunalenga kutoa nafasi kwa mamlaka fulani 'kuchakachua' yaliyomo kwenye ripoti hiyo.
Hata hivyo, Jaji Chande alieleza kuwa sababu kuu ya kuongeza muda ni kupanuka kwa wigo wa kazi pamoja na ongezeko la ushahidi unaokusanywa.
Awali tume ilipanga kutembelea mikoa sita, lakini baadala yake wamefika mikoa 11 na wilaya 22.
Vilevile tume imepokea ushahidi mwingi kutoka kwa wananchi na wadau mbalimbali, pamoja na ushauri wa kitaalamu ambao unahitaji kuchambuliwa kwa kina kabla ya kukamilisha ripoti
Jaji Chande amewahakikishia watanzania kuwa hawapaswi kuwa na hofu kuhusu uadilifu wa ripoti hiyo, akisisitiza kuwa tume hiyo inafanya kazi kwa uhuru bila shinikizo la nje.
Tume hiyo iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan Novemba 20, 2025 kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, imeongezewa muda mara mbili.
Mimi sina imanina hiyo the so called tume!Mzee Chande wadanganye Wajinga
Hapo kwenye strings weka balls.The thing is, no one believe you. You [Mr. Chande] probably don’t even believe what you’re saying.
We all know who’s pulling your strings.
And that’s none other than the main perpetrator…..one Samia Suluhu Hassan and her confederates!
Amesema tume haina dalali eeh? Mnafiq mkubwa! Dalali yupo. Dalali mkuu wa tume hii ni mama Samuya. Kwa kuwa anachunguzwa yeye kwa mauaji ya MO29, lazima aiongeze tume muda ili apate nafasi ya kuchakachua ripoti na kuondoa maudhui udhi kama vile serikali yake kuchoma miili ya raia kwenye tanuru la sementi. Mungu anakuona wewe Lucifer Suluhu.Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.
Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Othman Chande, amesema tume hiyo iko huru na haiikingiliwa na mamlaka yoyote, akikanusha madai kuwa muda wa kazi yake umeongezwa ili kuruhusu kuhaririwa kwa ripoti yake.
Tume hiyo iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan Novemba 20, 2025 kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ingawa mpaka sasa imeongezewa muda mara mbili
"Tume inajitegemea kwa kila kitu 'hatuna dalali'. Tume yenyewe ndiyo mhariri, na mamlaka iliyotupa jukumu tutakutana nayo wakati wa kukabidhi ripoti ya mwisho.
Kumekuwa na madai kutoka kwa baadhi ya wadau haswa wanaharakati mitandaoni nchini Tanzania wanaoona kwamba kuongezwa kwa muda wa tume hiyo mara mbili kunalenga kutoa nafasi kwa mamlaka fulani 'kuchakachua' yaliyomo kwenye ripoti hiyo.
Hata hivyo, Jaji Chande alieleza kuwa sababu kuu ya kuongeza muda ni kupanuka kwa wigo wa kazi pamoja na ongezeko la ushahidi unaokusanywa.
Awali tume ilipanga kutembelea mikoa sita, lakini baadala yake wamefika mikoa 11 na wilaya 22.
Vilevile tume imepokea ushahidi mwingi kutoka kwa wananchi na wadau mbalimbali, pamoja na ushauri wa kitaalamu ambao unahitaji kuchambuliwa kwa kina kabla ya kukamilisha ripoti
Jaji Chande amewahakikishia watanzania kuwa hawapaswi kuwa na hofu kuhusu uadilifu wa ripoti hiyo, akisisitiza kuwa tume hiyo inafanya kazi kwa uhuru bila shinikizo la nje.
Tume hiyo iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan Novemba 20, 2025 kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, imeongezewa muda mara mbili.
You nailed it dude. This is a naked truth, whether lice believe it or not.The thing is, no one believe you. You [Mr. Chande] probably don’t even believe what you’re saying.
We all know who’s pulling your strings.
And that’s none other than the main perpetrator…..one Samia Suluhu Hassan and her confederates!