Tunkamanini
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 377
- 93
Mwacheni Rais afanyanye kazi yake acheni kumwekea maneno mdomoni anajua kazi yake
Mwacheni Rais afanyanye kazi yake acheni kumwekea maneno mdomoni anajua kazi yake
Andrew Chenge nae aliimudu vyema hiyo nafasi. Chenge ni msomi mzuri tu wa Havard na ana ushawishi mkubwa kwa jamii
Naona wafaidika wa Escrow bado mnaendeleza mtandao wa ulinzi; ebu tujikumbushe malalamiko ya bosi wa TAKUKURU (kama tulivyojulishwa katika wikiliks) juu ya rushwa kubwa kubwa kwamba DPP wa wakati huo wa EPA and co alifanya nini juu ya mashitaka ya watuhumiwa?
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, nadhani hata huyo Hossea mwenyewe humfahamu, Dr. Feleshi alipoomba mdahalo na Hossea aelezee ni mafaili gani ameyahold Hossea alijibu nini?
Kesi ni ushahidi, narudia tena kesi yoyote ile mahakamani ni ushahidi, hakuna water tight evidence unapelekaje kesi mahakamani wakati unatambua wazi kwamba utashindwa?
Kwahiyo tulidanganywa pesa za EPA zilirudishwa?
kama zilirudishwa hiyo siyo water tight evidence siyo?
When the right does not read the left it is so difficult to lie!
Hebu tuanzie na alipokuwa DPP mazuri yake. "outstanding perfomance" hiyo unayoizungumzia tuiangazie wapi??!!!Naunga mkono hoja, nafasi hii inahita mtu mwenye kaliba ya Dr. Feleshi, huwa naskitika sana pale watu wasiomfahamu vizuri huyu jamaa wakimbedha, hakuna mwanasheria muadilifu na mchapa kazi kama huyu jamaa.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, nadhani hata huyo Hossea mwenyewe humfahamu, Dr. Feleshi alipoomba mdahalo na Hossea aelezee ni mafaili gani ameyahold Hossea alijibu nini?
Kesi ni ushahidi, narudia tena kesi yoyote ile mahakamani ni ushahidi, hakuna water tight evidence unapelekaje kesi mahakamani wakati unatambua wazi kwamba utashindwa?
Kwani umesahau Rais aliahidi nini? mbona nashindwa kukushangaa?