Mkuu
Tunkamanin, kwanza hongera sana kwa uzi huu.
Japo binadamu wote tumeumbwa sawa, lakini tunatofautiana sana uwezo, karama, vipawa, vipaji na nguvu, yaani powers, kuna baadhi ya wenzetu wana nguvu, ama kwa kujijua ama bila kujijua, mmoja miongoni mwa wenye nguvu hawa ni wewe!.
Amini usiamini, inawezekana kabisa ni kauli yako hii ndio imemuumbia feleshi u AG!.
Nafanya research ya powerful people wa JF, ili niwakusanye pamoja, mziunganishe powers zenu katika lile jambo langu, ili liwe.
Hongera sana kwa powers, naomba support yako kwenye lile jambo langu!.
Hizo powers kila mmoja wetu anazo, hata wewe unazo, ila wengi hawazitumii powers walizonazo kwa kutokujua kuwa wanazo hizo powers as a result, they just lay in a waste!.
Ili kujipima kama unazo na unaweza kuzitumia, tembelea hapa
Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
P