Jaji Eliezer Mbuki Feleshi anafaa kuwa AG

lisemwalo ......
 
Baada ya miaka Saba hatimae maandishi yako yametimia
 
Mkuu Tunkamanin , kwanza asante sana kwa bandiko hili, umeusema ukweli mtupu na leo ukweli huu imetimia, ubarikiwe sana.
Huu ni uthibitisho kuwa kauli huumba.

Sio kila kauli huumba, bali kauli za watu wenye powers ndio huumba. You have the powers .
P
 
Mkuu Tunkamanin, kwanza hongera sana kwa uzi huu.
Japo binadamu wote tumeumbwa sawa, lakini tunatofautiana sana uwezo, karama, vipawa, vipaji na nguvu, yaani powers, kuna baadhi ya wenzetu wana nguvu, ama kwa kujijua ama bila kujijua, mmoja miongoni mwa wenye nguvu hawa ni wewe!.

Amini usiamini, inawezekana kabisa ni kauli yako hii ndio imemuumbia feleshi u AG!.

Nafanya research ya powerful people wa JF, ili niwakusanye pamoja, mziunganishe powers zenu katika lile jambo langu, ili liwe.
Hongera sana kwa powers, naomba support yako kwenye lile jambo langu!.

Hizo powers kila mmoja wetu anazo, hata wewe unazo, ila wengi hawazitumii powers walizonazo kwa kutokujua kuwa wanazo hizo powers as a result, they just lay in a waste!.

Ili kujipima kama unazo na unaweza kuzitumia, tembelea hapa Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
P
 
Naunga mkono hoja.
K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…