Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Huwezi kuelewa wewe akili yako ya kukariri haiwezi kutafsiri mambo kwa kina. Tuliza mshono utupiwe makombo na mafisadi upate kwenda chooni.
Una hasira sanaaaa!

Nenda kazimalizie kwa polisi wanaomlinda gaidi wako pale ukonga
 
Utakuwa hujui ,mambo ya mahakamani bora unyamaze na kuuliza kuliko huku kuvimba mishipa ya shingo bure!
 
Utakuwa hujui ,mambo ya mahakamani bora unyamaze na kuuliza kuliko huku kuvimba mishipa ya shingo bure!
Bado nasisitiza kuwa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;

1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama inaenda kuangua na haito aminiwa na wananchi.
 
Nimeona baadhi ya majaji na mahakimu wanapokataliwa na washtakiwa huchukua muda " fulani" kutafakari na kuchukua maamuzi sahihi ya ama kukubali au kukataa

Lakini mh Jaji Luvanda amelipokea ombi la Freeman Mbowe kwa haraka sana kana kwamba alilitarajia

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Wewe hujui chochote!pole mkuu.
 

Wakati huo huo

15 Julai 2021
Kwa upande wake Wakili Mkuu wa Serikali, Ndg. Gabriel Malata......
Akielezea changamoto zinazoikabili Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Ndg. Gabriel Malata amezitaja changamoto hizo kuwa ni uhaba wa mawakili ambapo mpaka sasa ofisi hiyo inao mawakili 88 tu huku mahitaji halisi ya Mawakili ikiwa ni Mawakili 308, uhaba wa watumishi kutoka kada nyingine pamoja na vitendea kazi mbalimbali ikiwemo magari kwa ajili ya kupeka Mawakili Mahakamani. Source : Habari |Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
 
Mc luvanda jaji wa ccm kapigwa na kitu kizito kichwani mpka kajitoa kwenye kesi ya hovyohovyo ya macho kumchuzi...mawakili wa cdm wanaupiga mwingi mpka wale wa mama na siro wanaonekana wajinga kama mcherengwa.
Yani unakataa hoja halafu unawaambia mawakili wa serikali wakarekebishe hati bila wao kuomba.
Mungu awabariki watoto wa jaji luvanda wawe wanapakatwa
 
Tunaojua mambo ya mahakamani,tunaona sahihi kujitoa ili kulinda heshima ya hayo unayoyasema ,tulia mkuu sio lazima useme hata kitu hujui!
 
Sija kuelewa kabisaa ila nasisitiza kuwa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;

1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama inaenda kuangua na haito aminiwa na wananchi.
 
Kuna wakili alinisumbua kesi yangu. Hsoni aibu leo anadai hiki, tukienda appeal anadai kitu tofauti ili mradi anaona ni loophole ya kushinda kesi.


 
Dada kunywa maji upunguze joto,bladifaken
 
Ni dhambi kubwa kumfananisha yesu na huyo mchumia tumbo. Yesu hajawahi kutafuna michango ya wabunge waliochanga kwa muda wa miaka mitano, yesu hajawahi kuhusishwa na kifo cha chachawangwe, kupotea kwa Ben saa8 au kutisha watu wanaohoji matumizi ya ruzuku nk. Yesu sio mnywa konyagi nk. Kwa kweli mleta mada unatakiwa utubu dhambi zako kwa kumfananisha yesu na watu wa ajabu ajabu.
 
Mbona kajitoa sasa? Au
 

Mshauri Jaji Luvanda afungue kesi. Ni katima kesi hiyo tu ndio Mbowe atatakiwa kuonesha ushahidi. Taratibu za kimahakama sio kama vilinge vyenu vya kusutana au kuamulia ugomvi wa ndoa, mashamba na mswala ya urithi!!

Mahakama sio tegemeo la haki! Haki ziko katika mifumo, mila na taratibu za watu! Mahakama huja tu baada ya haki taratibi kuvunjwa!! Jifunze kutenda haki na utaihitaji mahakama!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…