Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Hata utukane vipi ligaidi limeshatumbukia na halitachomoka....Siku utakapong'olewa pum*b zako, ndio utakapojua Kuna watawala wa hovyo nchi hii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata utukane vipi ligaidi limeshatumbukia na halitachomoka....Siku utakapong'olewa pum*b zako, ndio utakapojua Kuna watawala wa hovyo nchi hii!
Una hasira sanaaaa!Huwezi kuelewa wewe akili yako ya kukariri haiwezi kutafsiri mambo kwa kina. Tuliza mshono utupiwe makombo na mafisadi upate kwenda chooni.
Utakuwa hujui ,mambo ya mahakamani bora unyamaze na kuuliza kuliko huku kuvimba mishipa ya shingo bure!Awasilishe mahakamani kama anao ushahidi juu ya hayo anayo mtuhumu nayo, sio kumchafua Jiji bila ushahidi.
Kama hakuna ushahidi Jaji aendelee.
Kibatala anazidi kumchimbia shimo bila yeye kujielewa maskini Mbowe!!!
Hoja ya kitoto kweli hiyo eti unamkataa Jaji?!! Tena unatoa tuhuma za kizushi na majungu ya kumchafua Jaji?
Halafu hao mawakili wanamfundisha ujinga kama huo!!
Bado nasisitiza kuwa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.Utakuwa hujui ,mambo ya mahakamani bora unyamaze na kuuliza kuliko huku kuvimba mishipa ya shingo bure!
Kwa hivyo wewe ndiye unayejua. Unaweza ukajua lakini ukabaki kuwa ujinga tu ni heri hata usiujueUsolijua ni kama usiku wa giza.
Wewe hujui chochote!pole mkuu.Jaji amekosea sana kujitoa ktk kesi.
Maana yake ni kwamba tuhuma alizo zitoa Mbowe dhidi ya Jaji ni za kweli.
Kabla ya kujitoa hizo tuhuma lazima kwanza zithibitishwe maaana sio tu kwamba zina mchafua Jaji/Majaji bali zinauchafua Muhimili wa Mahakama.
Huyu Mbowe si alisema yeye haogopi gereza? Mtu asiyeogopa gereza hawezi kuhangaika kama anavyohangaika Mwamba, kwanza hakutakiwa hata kuweka mawakili 300 kumtetea! Au kabadili gia angani akiwa huko gerezani! So sad, akitoka sasa asirudi tena TZ, atuachie amani yetu, mtu wao aliyekuwa anawatumia JK hana mamlaka tena kwa sasa.
Mc luvanda jaji wa ccm kapigwa na kitu kizito kichwani mpka kajitoa kwenye kesi ya hovyohovyo ya macho kumchuzi...mawakili wa cdm wanaupiga mwingi mpka wale wa mama na siro wanaonekana wajinga kama mcherengwa.Baada ya Jaji Luvanda kutupa mapingamizi yote yaliyotolewa na Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake, Mbowe amesimama na kumtaka Jaji Luvanda ajiondoe kuendesha kesi hiyo kwani ameonyesha upendeleo na taarifa zinasema ana maelekezo ya kupindisha sheria ili amfunge Mbowe na wenzake.
Jaji Luvanda amesema hati ya mashtaka ni batili amewashauri Mawakili wa serikali wakaibadilishe, Mawakili upande wa utetezi wamegoma wamemwambia kama hati ya mashtaka ni batili basi futa kesi Jaji akakataa ila amekubali kujiondoa kuendesha kesi.
UPDATE: Jaji Luvanda akubali
Jaji Elinaza Luvanda aliyekuwa anaisikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi nyenye mashtaka 6 yakiwemo ya ugaidi, amejitoa kusikiliza kesi hiyo, sababu ya kujitoa kwake, ni kutokana na mshtakiwa wa nne katika kesi hiyo, Mhe. Freeman Mbowe na wenzake kuwa hawana imani na Jaji huyo.
Pia soma >
Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6
. "Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo
. CHADEMA tusimpe vitisho Jaji Luvanda, mpaka sasa hajapendelea pande yoyote. Kibatala na jopo lake walichemka
Bado nasisitiza kuwa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.
nasema hivyo kwa sababu zifuatazo;
1. Tuhuma zilizo tolewa dhidi ya Jaji ni tuhuma nzito ambazo sio tu kwamba zinamchafua yeye Jaji Luvanda bali zinawachafua Majaji wote wa Tanzania bara na Muhimili wa Mahakama kwa ujumla wake kuwa hawatendi haki.
Tuhuma hizo zilipaswa zithibitishwe kwanza, huko ni kuichafua Mahakama, na wananchi wa kawaida watapoteza IMANI na MAHAKAMA.
Mahakama ndio Tegemeo la wananchi sasa kama tutaacha uchafuzi kama huu uendelee basi Mahakama inaenda kuangua na haito aminiwa na wananchi.
Sija kuelewa kabisaa ila nasisitiza kuwa tuhuma alizo zitoa Mbowe na Mawakili wake dhidi ya Jaji Luvabda eti kuwa amepewa maelekezo kutoka juu kuwa amfunge Mbowe, tuhuma hizi zilipaswa zithibitishwe kwanza kabla ya Jaji kujitoa kusikiliza kesi hiyo.Mpumbavu tena. Kesi ililetwa mahakamani na Mbowe, jamhuri hapa alisema hati ya mashtaka ni sahihi. Kama hati imeonekana ni batili, i akuwa batili in its fullest - sio visehemu!! Usichojua ni kuwa hakima anasema wakatekebishe hati maana yake hiyo hati mpya ndiyo itakayotumika kumshtaki Mbowe na wenzie!! Maana yake ni kuwa kesi hii haiwezi kuendelea kwa hati hii iliyotolewa uamuzi kuwa ni batili!! Mbowe akamatwe upya na kushtakiwa upya! Period.
Najua kinachokuuma ni kuwa Mbowe anaweza kuwa huru kwa jambo hili. Ukweli ni kuwa hawezi kuwa huru - akamatwe na kushtakiwa kwa hati mpya!!
Huko jamhuri ni matumbo kuuma kwa sababu makosa yaliyo kwenye hati hii batili hayawezi kutumika tena kumshtaki Mbowe. Wakati waambiwa makosa yamejirudiarudia walikuwa vichwa ngumu - sasa makosa yote waliyoyarudia hayawezi hata kutumika tena!! Ni vema wakamsingizia jambo lingine ili wamkamata!!
Katika round hii mpokeaji wa haki ni Mbowe!! Ndiye aliyefungua kesi ya kupinga hati ya mashtaka!!
Jaji hana tatizo kama ni jambo la kurekebishika hatakiwi kufuta shitaka bali kutoa oda ya kurekebisha Mkuu. Athari ya kufuta ni kwamba shitaka halitaweza kurudishwa na Jamhuri/ itasababisha mchakato wa kuanza kumkamata tena na kuzua taharuki zaidi. Sio aibu Jaji kujitoa bali ni ujasiri na heshima. Mawakili wa mshitakiwa wao wanakomaa kutetea maslahi ya mteja wao kuna muda wanajua kabisa wanachoomba mahakama ikifanye sio sahihi ila ndio njia waliyobaki nayo, Jaji ukiingia mkenge unawasaidia kupindisha mambo.
Usishangae mawakili hao hao kwenye kesi za madai wakakomaa kuwa Jaji hawezi kufuta mashtaka kisa mlalamikai kakosea kuandika hati ya madai bali anatakiwa kutoa oda tu yakufanya marekebisho mdai arudi tena mahakamani akiwa kakamilika.
Kitu ambacho huku wanakikataa 😂 😂 , haya yote ni mambo ya kwenye fani ya sheria. ndio maana haitoshi kuamini kila anachokisema wakili wa upande wowote kwenye media, jaribu kufahamu sheria nayo inatakajee?.
Dada kunywa maji upunguze joto,bladifakenJaji asikubali upuuuzi na ushenzi huu wa Mawakili wa Mbowe na Mbowe mwenyewe.
Huko ni kumtusi Jaji na Mahakama,
Mbowe na mawakili wake hawana sababu ya msingi zaidi ya kutaka kumyumbisha Jaji, tuhuma wanazo zitoa dhidi ya Jaji ni za kipuuuzi na hazina uthibitisho wowote zaidi ya kudhania na kuhisia tu, hakuna hoja hapo, kwa hiyo anamtaka Jaji ambaye ni RAFIKI YAKE ili asikilize kesi yake.
kwa hiyo imefikia sasa Mtuhumiwa kuchagua Jaji wa kusikiliza kesi yake aisee! hata marekani hakuna kitu kama hicho.
ninacho sema Jaji angeweza kujitoa kama tuhuma zinazo tolewa na Mbowe zina uthibitisho la sivyo Jaji aendelee tu kungurumisha kesi.......asikubali kubabaishwa na hoja za kipuuzi na za kuokoteza na zenye lengo la kuchelewesha haki kutendeka.
Dada hamza kada wenu anakusalimu toka aheraMbowe anatapatapa tu, 20 years in jail Inamhusu huyu
Mbona kajitoa sasa? AuJaji asikubali upuuuzi na ushenzi huu wa Mawakili wa Mbowe na Mbowe mwenyewe.