nimejifunza kuwa ukifika Mahakamani kama unaona Jaji au Hakimu hasomeki basi unatamka tu kuwa sina imani na Jaji/Hakimu kisha Jaji au Hakimu anajitoa kwenye kesi yangu.Hujaelewa na wala hujajifunza kitu! Unaweza kumkataa hakimu kwa kutokua na imani naye, lakini haimaanishi unachagua jaji au hakimu unaye mtaka! Ukitaka kujifunza au kuelewa, subiri mchakato wa hii kesi utakavyo endelea!
Kwani unatakaje?Mbambikiaji unaendelea kupeta
Unataka kusemaje?Wakisha mfunga wao wenyewe hawatokuwa salama ndani ya chama yani ni mwanzo wa msala mpaka kijulikane... Ubaya let me end
Nimejifunza kitu, kumbe kama unaona huyu Jaji ama hakimu haelewekia ama hasomeki kumbe naweza kumkataa tu kisha nikachagua Jaji au Hakimu ninaye mtaka na akasikiliza kesi yangu.
Kumbe siku hizi unaweza kuchagua Jaji ama Hakimu wa kusikiliza kesi yangu. aise!!
Mbona maswali mengi?Wewe ni judge au ni walewale pangu pakavu?
Haya Mkuu, uwe na jioni njema.
Furaha yako/yenu nikufurahia mateso ,uonevu na manyanyaso kwa wengine.Hata wanyama hawana tabia hiyo.Kwani unatakaje?
Utabaki kusema hivyo hivyo, shauri yako.Furaha yako/yenu nikufurahima mateso ,uonevu na manyanyaso kwa wengine.Hata wanyama hawana tabia hiyo.
Kesi itaanzaje bila hati ya mashitaka au kwa mashitaka batili?Kibatala miaka yote mbinu zake ni hizo hizo tu kutafuta kumaliza kesi kwa short cut badala ya kuwekeza katika kupangua mashitaka kwa hoja za kisheria
Alifanya kwa sugu akashindwa,akafanya kwa mdude akajitoa
Kutokua na imani na jaji hakumpunguzii mteja ukali na ugumu wa mashitaka
Nawe hivyo hivyoUtabaki kusema hivyo hivyo, shauri yako.
Unasema sio swala la kisiasa halafu unaongea siasa tupu !Kwa wakili yeyote Jaji ni mwalimu ndio maana tunasoma kesi tofauti tofauti kupata mamlaka yakusema jambo.
Mkuu kuna jambo bado haujaweza kulifahamu vizuri, nitakupa mifano hapa, tuseme haya Jaji angeamua kumuachia huru Mbowe, alafu akatoka tu akakamatwa tena. Unadhani public ingechukuliaje hiyo hali? (Sasa kuna Majaji wanaitwa Grand Judges) hawa ni wazee wakuangalia public sana, pengine Hon. Luvanda ni miongoni mwao. (Sio kosa wala)
Sasa turudi kwenye hili jambo, kwanini sasa kaamua kutolifuta?, kuna mambo mengi miongoni ni
1. Kuitafuta haki kwa pande zote mbili
Hapa haimaanishi kuwa umeona kuna mapungufu na yanaweza kurekebishika basi ukaamua kama Jaji/Hakimu kufuta kesi kwa kuangalia 'teknikaliti'
2. Kuwarahisishia muda wao watuhumiwa
Kumbuka Mh. Mbowe na wenzake wapo ndani bila dhamana, sasa ni vipi kawarahisisgia muda na kuondoa usumbufu?, Akifuta hati watakuwa huru dakika chache wakitoka tu nje pale wakamatwe tena, kesi ianze upya pengine ikachukua muda mrefu zaidi kosa halina dhamana, sasa kwanini Mahakama ipoteze muda kiasi hicho?.
Kumbuka moja ya malengo ya Mahakama Kuu Tz ni kuendesha kesi kwa muda mfupi ziishe.
Unaweza ukasema angejuaje kama angekamatwa tena?, Ipo wazi tu sababu bado Jamhuri ina 'interest' na kesi angekamatwa tu na wangerudi pale pale sasa maana yakr ni nini kwanini asiwaambie warekebishe wailete ikiwa sawa ili hali zipo kesi zinamruhusu kufanya hivyo.
Mkuu hili swala ni lakitaaluma sio kisiasa, tuliangalie kwa jicho la taaluma.
Nimefanya field mahakamani hakuna unachokiandika hapa nisichokifahamu, hizi zote ulizoweka hapa (hoja zako) ni hisia tu, hauna uthibitisho, unamsemea jaji usiemjua "his motive behind".Kwa wakili yeyote Jaji ni mwalimu ndio maana tunasoma kesi tofauti tofauti kupata mamlaka yakusema jambo.
Mkuu kuna jambo bado haujaweza kulifahamu vizuri, nitakupa mifano hapa, tuseme haya Jaji angeamua kumuachia huru Mbowe, alafu akatoka tu akakamatwa tena. Unadhani public ingechukuliaje hiyo hali? (Sasa kuna Majaji wanaitwa Grand Judges) hawa ni wazee wakuangalia public sana, pengine Hon. Luvanda ni miongoni mwao. (Sio kosa wala)
Sasa turudi kwenye hili jambo, kwanini sasa kaamua kutolifuta?, kuna mambo mengi miongoni ni
1. Kuitafuta haki kwa pande zote mbili
Hapa haimaanishi kuwa umeona kuna mapungufu na yanaweza kurekebishika basi ukaamua kama Jaji/Hakimu kufuta kesi kwa kuangalia 'teknikaliti'
2. Kuwarahisishia muda wao watuhumiwa
Kumbuka Mh. Mbowe na wenzake wapo ndani bila dhamana, sasa ni vipi kawarahisisgia muda na kuondoa usumbufu?, Akifuta hati watakuwa huru dakika chache wakitoka tu nje pale wakamatwe tena, kesi ianze upya pengine ikachukua muda mrefu zaidi kosa halina dhamana, sasa kwanini Mahakama ipoteze muda kiasi hicho?.
Kumbuka moja ya malengo ya Mahakama Kuu Tz ni kuendesha kesi kwa muda mfupi ziishe.
Unaweza ukasema angejuaje kama angekamatwa tena?, Ipo wazi tu sababu bado Jamhuri ina 'interest' na kesi angekamatwa tu na wangerudi pale pale sasa maana yakr ni nini kwanini asiwaambie warekebishe wailete ikiwa sawa ili hali zipo kesi zinamruhusu kufanya hivyo.
Mkuu hili swala ni lakitaaluma sio kisiasa, tuliangalie kwa jicho la taaluma.
Wapambe wake Mbowe wanasukumwa na hisia kuliko mashtaka dhidi yake ambayo ni mazito kiasi cha kuvuta wawakilishi wa Balozi za nje.Kwa wakili yeyote Jaji ni mwalimu ndio maana tunasoma kesi tofauti tofauti kupata mamlaka yakusema jambo.
Mkuu kuna jambo bado haujaweza kulifahamu vizuri, nitakupa mifano hapa, tuseme haya Jaji angeamua kumuachia huru Mbowe, alafu akatoka tu akakamatwa tena. Unadhani public ingechukuliaje hiyo hali? (Sasa kuna Majaji wanaitwa Grand Judges) hawa ni wazee wakuangalia public sana, pengine Hon. Luvanda ni miongoni mwao. (Sio kosa wala)
Sasa turudi kwenye hili jambo, kwanini sasa kaamua kutolifuta?, kuna mambo mengi miongoni ni
1. Kuitafuta haki kwa pande zote mbili
Hapa haimaanishi kuwa umeona kuna mapungufu na yanaweza kurekebishika basi ukaamua kama Jaji/Hakimu kufuta kesi kwa kuangalia 'teknikaliti'
2. Kuwarahisishia muda wao watuhumiwa
Kumbuka Mh. Mbowe na wenzake wapo ndani bila dhamana, sasa ni vipi kawarahisisgia muda na kuondoa usumbufu?, Akifuta hati watakuwa huru dakika chache wakitoka tu nje pale wakamatwe tena, kesi ianze upya pengine ikachukua muda mrefu zaidi kosa halina dhamana, sasa kwanini Mahakama ipoteze muda kiasi hicho?.
Kumbuka moja ya malengo ya Mahakama Kuu Tz ni kuendesha kesi kwa muda mfupi ziishe.
Unaweza ukasema angejuaje kama angekamatwa tena?, Ipo wazi tu sababu bado Jamhuri ina 'interest' na kesi angekamatwa tu na wangerudi pale pale sasa maana yakr ni nini kwanini asiwaambie warekebishe wailete ikiwa sawa ili hali zipo kesi zinamruhusu kufanya hivyo.
Mkuu hili swala ni lakitaaluma sio kisiasa, tuliangalie kwa jicho la taaluma.
Mlevi wa Konyagi anajipigania mwenyewe wacha kutusingizia. Atavuna alichopanda ''Chaga Gangsters.''Masikini Mbowe anafungwa hivi hivi kutokana na ujinga wa Watanzania, kuwapigania watu wasiojielewa ni kazi sana.
Kwa wakili yeyote Jaji ni mwalimu ndio maana tunasoma kesi tofauti tofauti kupata mamlaka yakusema jambo.
Mkuu kuna jambo bado haujaweza kulifahamu vizuri, nitakupa mifano hapa, tuseme haya Jaji angeamua kumuachia huru Mbowe, alafu akatoka tu akakamatwa tena. Unadhani public ingechukuliaje hiyo hali? (Sasa kuna Majaji wanaitwa Grand Judges) hawa ni wazee wakuangalia public sana, pengine Hon. Luvanda ni miongoni mwao. (Sio kosa wala)
Sasa turudi kwenye hili jambo, kwanini sasa kaamua kutolifuta?, kuna mambo mengi miongoni ni
1. Kuitafuta haki kwa pande zote mbili
Hapa haimaanishi kuwa umeona kuna mapungufu na yanaweza kurekebishika basi ukaamua kama Jaji/Hakimu kufuta kesi kwa kuangalia 'teknikaliti'
2. Kuwarahisishia muda wao watuhumiwa
Kumbuka Mh. Mbowe na wenzake wapo ndani bila dhamana, sasa ni vipi kawarahisisgia muda na kuondoa usumbufu?, Akifuta hati watakuwa huru dakika chache wakitoka tu nje pale wakamatwe tena, kesi ianze upya pengine ikachukua muda mrefu zaidi kosa halina dhamana, sasa kwanini Mahakama ipoteze muda kiasi hicho?.
Kumbuka moja ya malengo ya Mahakama Kuu Tz ni kuendesha kesi kwa muda mfupi ziishe.
Unaweza ukasema angejuaje kama angekamatwa tena?, Ipo wazi tu sababu bado Jamhuri ina 'interest' na kesi angekamatwa tu na wangerudi pale pale sasa maana yakr ni nini kwanini asiwaambie warekebishe wailete ikiwa sawa ili hali zipo kesi zinamruhusu kufanya hivyo.
Mkuu hili swala ni lakitaaluma sio kisiasa, tuliangalie kwa jicho la taaluma.
Hujaelewa chochote, ila kumbuka kuna Mtu aliyangulia kukuambia kwamba akili kama hizi ni kwa sababu ya aina ya kilevi unachotumia! Najua huwezi kuelewa kwa sababu ya biaseness inayo kutawala! Siyo kosa lako, hapa ndipo tulipo fikishwa na shule zetu za kata na utawala wa ‘kichawi’ wa ccm!nimejifunza kuwa ukifika Mahakamani kama unaona Jaji au Hakimu hasomeki basi unatamka tu kuwa sina imani na Jaji/Hakimu kisha Jaji au Hakimu anajitoa kwenye kesi yangu.
vivyo hivyo ikitokea tena mwengine haeleweki nasema sina imani naye kisha anajitoa, na mwengine na mwengine.........Kumbe huo ndio utaratibu mpaka niridhile na Jaji ama Hakimu ninaye mtaka mimi.
duh! Mahakama zetu zimeendelea sana.
Kibatala miaka yote mbinu zake ni hizo hizo tu kutafuta kumaliza kesi kwa short cut badala ya kuwekeza katika kupangua mashitaka kwa hoja za kisheria
Alifanya kwa sugu akashindwa,akafanya kwa mdude akajitoa
Kutokua na imani na jaji hakumpunguzii mteja ukali na ugumu wa mashitaka
Mbona huyo mumeo jaji ameshajitoa wewe unabwekabweka tu hapa. Mwambie abadilishe mawazo basi kama anaweza.Jaji asikubali upuuuzi na ushenzi huu wa Mawakili wa Mbowe na Mbowe mwenyewe.
Huko ni kumtusi Jaji na Mahakama,
Mbowe na mawakili wake hawana sababu ya msingi zaidi ya kutaka kumyumbisha Jaji, tuhuma wanazo zitoa dhidi ya Jaji ni za kipuuuzi na hazina uthibitisho wowote zaidi ya kudhania na kuhisia tu, hakuna hoja hapo, kwa hiyo anamtaka Jaji ambaye ni RAFIKI YAKE ili asikilize kesi yake.
kwa hiyo imefikia sasa Mtuhumiwa kuchagua Jaji wa kusikiliza kesi yake aisee! hata marekani hakuna kitu kama hicho.
ninacho sema Jaji angeweza kujitoa kama tuhuma zinazo tolewa na Mbowe zina uthibitisho la sivyo Jaji aendelee tu kungurumisha kesi.......asikubali kubabaishwa na hoja za kipuuzi na za kuokoteza na zenye lengo la kuchelewesha haki kutendeka.
Hakuna cha mashitaka mazito wala nini! Kesi ya Mbowe ni nyepesi tu, sema uzito unaouona Wewe ni mapenzi yako kwenye uongozi wa dhuluma, uvunjaji wa katiba na ubambikiaji kesi!Wapambe wake Mbowe wanasukumwa na hisia kuliko mashtaka dhidi yake ambayo ni mazito kiasi cha kuvuta wawakilishi wa Balozi za nje.
Kama zilivyo hoja zako, Mawakili wa utetezi hawamtendei haki mteja wao. Kwa kuwa hati ya mashtaka ilikuwa na mapungufu wangeendelea na kesi ili watumie mapungufu hayo kujenga hoja za kumnusuru mteja wao. Kitachotokea yataandaliwa mashtaka mazito ambayo watakuwa na kazi kuyapangua