Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Nadhani anataka jaji mchaga
 
Umepagawa nini wewe chawa hadi unapost mara mbilimbili?
 
Uzuri ni kwamba aliyekataliwa, tena in public, amekubali na kupisha wengine. Wewe endelea kulia lia..
 
Kwa hiki ulichoongea itakuwa wewe ni muuza genge au muuza maji kwa madumu, jielimishe kwanza ili ujue sheria inasemaje pale mtuhumiwa anapokuwa hana imani na jaji au hakimu. Tatizo kusoma hamtaki kazi ni kudandia nyuzi tuu.
 
Hakuna cha mashitaka mazito wala nini! Kesi ya Mbowe ni nyepesi tu, sema uzito unaouona Wewe ni mapenzi yako kwenye uongozi wa dhuluma, uvunjaji wa katiba na ubambikiaji kesi!
Nami naomba iwe hivyo (kesi nyepesi).

Ukweli unabaki Mawakili wake hawauoni huo wepesi, kama uonavyo wewe. Ingekuwa nyepesi, kihivyo, wangeendelea na kesi iishe haraka. Pingamizi zinaongeza muda wa mteja kuendelea kusota mahabusu.

NB: Mashitaka ya sasa yakifutwa atakamatwa na mchakato unaanza upya. Yawezekana jopo la Mawakili wake wakaanza pingamizi upya.
 
Tuhuma alizozitoa Mbowe dhidi ya Jaji Luvanda sio tu zinamchafua yeye bali zinawachafua Majaji wote na Muhimili wa Mahakama.
Hivyo Mbowe na Mawikili wake walipaswa wathibitishe tuhuma hizo nzito.
Akili kisoda mwili jumba [emoji23][emoji23]
 
Jaji kakataa upuuzi wa CCM na serekali yake.
 
Hii kesi CCM wasipokuwa makini itawaacha uchi...waachane nayo mapema!!

Jaji katoka mnyonge maskini...sijawahi kushuhudia Jaji anawashauri waleta mashitaka wakarekebishe shitaka wakati wao hata hawajaiomba mahakama..aisee.
 
Ujinga tu wa CCM na serekali yake....
-Kwamba anakabiliwa na mashtaka mazitooo!.
- kisha ataandaliwa mashtaka mazitooo! ambayo ni magumu kuyapangua!......
 
Ujinga tu wa CCM na serekali yake....
-Kwamba anakabiliwa na mashtaka mazitooo!.
- kisha ataandaliwa mashtaka mazitooo! ambayo ni magumu kuyapangua!......
Naamini umesoma na kuelewa mashitaka yanayomkabili na pingamizi za jopo (13) la Mawakili wake, ambazo baadhi zimekubaliwa na Jaji. Pia unatambua kiwango cha hisia za watu wa ndani na nje.

Mawili hayo yanaweka ulazima wa mashtaka kuandaliwa upya kulingana na uzito wa ushahidi walionao ili isije kujitokeza kuwa ni kesi ya "kubambika".

Laiti Mawakili wangeendelea na mashtaka yenye mapungufu, Serikali isingepata nafasi ya kuandaa mashtaka upya.
 
Vipi umetupiliwa mbali ushauri wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…