Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Yaani una wivu na mbowe mwana mme mzima, tatizo lako umeishi sana kwa shemeji hadi una chembe za kike.
 
Mkuu unadhani kuangalia interest ya mshitaki au mdai ipo wapi ni siasa?, ungenielewa nilivyosema Jamhuri inaonekana bado ina interest na kesi wala usingewaza kama ni siasa.

wewe hauoni kama achia kamata, achia kamata ni upotevu wa muda na kuzusha sintofahamu kwa raia hasa wa nchi kama Tz ambao hawana uelewa hata na taratibu za kimahakama?
 
Ukichangia mada ukada wa Lumumba uweke pembeni

1.Serikali / Jamhuri ndivyo ilivyoshtaki.
2.Jaji E. B Luvanda kakubali mashtaka ya serikali yana kasoro
3.Jaji E.B Luvanda anaelekeza namna nzuri ya serikali kumshtaki Mbowe
4.Kwa hiyo
a) Jaji alipaswa amwachie Mbowe.
b) Mbowe hashtakiwi na Jaji anashtakiwa na serikali kupitia ofisi za mwendesha mashtaka DPP na Mawakili wa serikali, vipi jaji na yeye kujiunga upande wa Jamhuri kuwaelekeza kazi ifanywe vipi kisha wamletee halafu hapo haki kweli itatendeka?

Anawaza kwa sauti Askofu Bagonza
 
Hiyo ni kazi ya jaji ,hata Mbowe akikosea jaji aweza mpa mda kurekebisha kasoro,tuache siasa
 
Mbowe ni gaidi kanasa kiulaini sana
 
Kesi za shinikizo hizi huwa zinawaadhiri sana bendera fuata upepo.
 
Hajakosea mkuu inawezekana tuhuma zina ukweli kiasi chake.
 
Ngoja tuzidi kumsihi Mwenyezi Mungu aingilie kati mateso ya Mbowe!

Wenye kufuatilia maswala ya kisheria waendelee kufuatilia wala si vibaya lakini wengine tumuelekee Mungu kila mtu kwa imani yake tumsihi aingilie kati kwa njia azijuazo yeye mwenyewe.

Mungu ni mwaminifu sana hakika atafanya jambo very soonest!
 
Mbna umekua nguchiro ww???
 
kweli
Basi watueleze hakuna utawala wa sheria nchini tujue wazi...a criminal ni criminal tu haijalishi ni mwanasiasa au kibarua wa shambani.



kweli kabisa mkuu,
a criminal ni criminal tuu, it doesn't matter his power or position he hold in the gvT..
kwa kiasi flan hii haipo practical in our country...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…