Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Kwa sasa ndicho kinachojiri huko Kesi dhidi ya Mbowe ya Kisiasa. Jaji Luvanda ameamua kuitema ndoano baada ya kugundua hataki laana na mikosi itokanayo na ukiukwaji wa Haki za binadamu wasio na kosa

Amefanya kama alivyofanya Pilato wakati wa Yesu.

Yesu alishtakiqa ktk mahakama ya Kayafa kwa makosa ya kuhubiri uongo na kuleta taharuki kwa watu wa Yerusalem. Pamoja na Kuwa Hakum Pilato akipitia hati ya mashtka na kusikiliza mashahidi wa upande wa mashtaka( jamhuri) akajiridhisha pasipo na shaka kuwa Yesu hana kosa. Hivyo akajitoa kwenye mkenge wa kumhukumu mtu asiye na hatia.

Akanawa Mikono akawalaani wale wanaoendelea na keai yake. Aksasema Fanyeni mnavyooni nyinyi mimi mtu huyu sioni kama ana hatia. Na Damu Yake itakuwa juu yenu na watoto wenu.

Hadi Leo wayahudi hawajapata amani na hawatapata amani hadi Masihi Issa Bin Maryam arudi.

Asalam Aleykum
Mc luvanda wa ccm kakataliwa na mbowe,arudi kwa mama watete jinsi ya kushinda kesi ambayo wameshashindwa kitambo
 
Katika utoaji wa haki sio Jambo zuri kirekodi kwa jaji anayesikiliza kesi kutiliwa mashaka na either party kuwa bias."Kama jaji atatoa hukumu na watu wakaondoka mahakamani wakihisi alikuwa na upendeleo,huyo jaji hakutakiwa kuisikiliza kesi hiyo hata Kama ametenda haki". By Lord Denning.
 
Kwa sasa ndicho kinachojiri huko Kesi dhidi ya Mbowe ya Kisiasa. Jaji Luvanda ameamua kuitema ndoano baada ya kugundua hataki laana na mikosi itokanayo na ukiukwaji wa Haki za binadamu wasio na kosa

Amefanya kama alivyofanya Pilato wakati wa Yesu.

Yesu alishtakiqa ktk mahakama ya Kayafa kwa makosa ya kuhubiri uongo na kuleta taharuki kwa watu wa Yerusalem. Pamoja na Kuwa Hakum Pilato akipitia hati ya mashtka na kusikiliza mashahidi wa upande wa mashtaka( jamhuri) akajiridhisha pasipo na shaka kuwa Yesu hana kosa. Hivyo akajitoa kwenye mkenge wa kumhukumu mtu asiye na hatia.

Akanawa Mikono akawalaani wale wanaoendelea na keai yake. Aksasema Fanyeni mnavyooni nyinyi mimi mtu huyu sioni kama ana hatia. Na Damu Yake itakuwa juu yenu na watoto wenu.

Hadi Leo wayahudi hawajapata amani na hawatapata amani hadi Masihi Issa Bin Maryam arudi.

Asalam Aleykum
Wakisha mfunga wao wenyewe hawatokuwa salama ndani ya chama yani ni mwanzo wa msala mpaka kijulikane... Ubaya let me end
 
Jaji asikubali upuuuzi na ushenzi huu wa Mawakili wa Mbowe na Mbowe mwenyewe.

Huko ni kumtusi Jaji na Mahakama,

Mbowe na mawakili wake hawana sababu ya msingi zaidi ya kutaka kumyumbisha Jaji, tuhuma wanazo zitoa dhidi ya Jaji ni za kipuuuzi na hazina uthibitisho wowote zaidi ya kudhania na kuhisia tu, hakuna hoja hapo, kwa hiyo anamtaka Jaji ambaye ni RAFIKI YAKE ili asikilize kesi yake.

kwa hiyo imefikia sasa Mtuhumiwa kuchagua Jaji wa kusikiliza kesi yake aisee! hata marekani hakuna kitu kama hicho.

ninacho sema Jaji angeweza kujitoa kama tuhuma zinazo tolewa na Mbowe zina uthibitisho la sivyo Jaji aendelee tu kungurumisha kesi.......asikubali kubabaishwa na hoja za kipuuzi na za kuokoteza na zenye lengo la kuchelewesha haki kutendeka.
Amejitoa sasa unasemaje?
 
Awasilishe mahakamani kama anao ushahidi juu ya hayo anayo mtuhumu nayo, sio kumchafua Jiji bila ushahidi.

Kama hakuna ushahidi Jaji aendelee.

Kibatala anazidi kumchimbia shimo bila yeye kujielewa maskini Mbowe!!!

Hoja ya kitoto kweli hiyo eti unamkataa Jaji?!! Tena unatoa tuhuma za kizushi na majungu ya kumchafua Jaji?

Halafu hao mawakili wanamfundisha ujinga kama huo!!
Kwahiyo ukiwa jaji unakuwa mungu?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Jaji Luvanda uliwekwa kimkakati kumfunga Mbowe na wenzake kwa tuhuma zakubumba. Tuliokuwepo mahakamani tulipigwa na butwaa baada ya Jaji kukiri hati ya Mashitaka ya Jamhuri imekosewa. Kama imekosewa mahakama ilitakiwa kumfutia kesi Mbowe na wenzake.

Lengo la kuweka mapingamizi kwa upande wa utetezi ilikuwa haioni haja ya kesi kuendelea kwa kuwa makosa yaliyo kwenye hati ya mashtaka yanajirudia hivyo mahakama ifute hiyo kesi.

Badala ya kufuta kesi, mahakama kupitia jaji Luvanda anawapa tena muda Jamhuri kuirekebisha hati ya mashtaka badala ya kufuta kesi. Jaji hata hakufikiria kwanini au kulikuwa na haja gani upande wa utetezi kuweka mapingamizi hakujua, amekuja na maamuzi ya ajabu.

Ni dhahiri tosha kesi hii ni ya kumbambikizia Mbowe tu, kuonea watu tu, haiwezekani unamfungulia kesi mtu bila kujua ana kosa gani. Hapa Jamhuri inaonekana huwa inapika kesi. Mahakama nazo ni shida hazipo huru.
 
Masikini Mbowe anafungwa hivi hivi kutokana na ujinga wa Watanzania kuwapigania watu wasiojielewa ni kazi sana.
Wanasiasa wa Africa sikweli kwamba wanawapigania wananchi, nitakuwa wa mwisho kukubali hili, awe sisiemu, cuf,Chauma au cdm hakuna anayepigania maslahi ya wananchi........
 
Mbowe anatapatapa tu, 20 years in jail Inamhusu huyu

Uwezo wa Mwenyezi Mungu ni Mkuu sana!

Mungu anatisha jamani tumuogope sana!

Kulikuwa na watu wanaojiona kama vile wana hatima ya Wanadamu wenzao leo wako wapi?

Wako wapi watesi wa watu?!
 
Mahakamani naenda kukujitetea ili nikwepe kosa na ninavyokwepa kosa Jaji anamshauri mgomvi wangu akatafute kosa lingine hili limekaaje kwa watalamu wa sheria?

Serikali walidai hati ya mashtaka haina makosa na iko sahihi haihitaji kubadilishwa, Jaji anasema INA mapungufu makubwa sana itabidi ibadilishwe...

Huyu Jaji kitaalam tumuiteje?
 
Tuhuma alizozitoa Mbowe dhidi ya Jaji Luvanda sio tu zinamchafua yeye bali zinawachafua Majaji wote na Muhimili wa Mahakama.
Hivyo Mbowe na Mawikili wake walipaswa wathibitishe tuhuma hizo nzito.
Wanaweza wakazithibitisha hata zakwako.
 
Jaji amekosea sana kujitoa ktk kesi.
Maana yake ni kwamba tuhuma alizo zitoa Mbowe dhidi ya Jaji ni za kweli.
Kabla ya kujitoa hizo tuhuma lazima kwanza zithibitishwe maaana sio tu kwamba zina mchafua Jaji/Majaji bali zinauchafua Muhimili wa Mahakama.
Kujitoa ndiyo kutunza heshima yake

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Mahakamani naenda kukujitetea ili nikwepe kosa na ninavyokwepa kosa Jaji anamshauri mgomvi wangu akatafute kosa lingine hili limekaaje kwa watalamu wa sheria?

Serikali walidai hati ya mashtaka haina makosa na iko sahihi haihitaji kubadilishwa, Jaji anasema INA mapungufu makubwa sana itabidi ibadilishwe...

Huyu Jaji kitaalam tumuiteje?
 
Ligi ikianzaaa mnasema marefa oooo sijui nini,

anyway ngoja tuendelee tega sikio
 
Back
Top Bottom