Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shauri yake na Wajukuu zake , maana ni MzeePascal akiri ime eroded....
Huyu akiheshimiwa sana ataitwa Jaji Tumbo Mutungi, Jaji Mchongo Mutungi, Jaji Fake Mutungi au Jaji Uchwara Mutungi.Heshima kitu cha bure, position ya Msajili wa vyama vya siasa ni lazima ishikwe na mtu mwenye title ya Jaji mstaafu, hivyo kumtaja lazima uiweke title yake proper, ile title kama ya udakitari wa heshima, it's a real title kama ya Dr, Adv, CPA. Eng. Prof. etc kumuita Francis Mutungi bila Jaji Francis Mutungi ni kumdharau!.
Nafasi nyingine zinazishikwa na Jaji mstaafu ni Mwenyekiti wa NEC, Mwenyekiti wa Tume ya Maadili na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Acha dharau!. And this is not the first time!, kiburi sii maugwana!.
P
Mutungi anatafuta kiki kupitia Chadema. Hapaswi kujibiwa huo ujinga wake mpaka alete evidence kuwa Chadema ndio waliotengeneza hako kavideoMsajili wa Milele wa Vyama vya siasa nchini Tanzania , Francis Mutungi , ameokota taarifa mitandaoni anbako inadaiwa kuna video ya Aibu ya kiongozi wa ccm inasambaa mitandaoni .
Sasa Mtukufu Mutungi moja kwa moja kaisingizia Chadema.
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekiri kupokea barua kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, inayowataka wajielezea ndani ya siku tano, tangu kupokea barua hiyo.
Kwa kujibu wa barua hiyo ambayo bado haijawekwa hadharani ilipokelewa na chama hicho tangu Oktoba 2, 2023 mchana, kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa ikitaka wajielezea kwa madai ya kurekodi maudhui ya video ya kumdhalilisha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
CCM inakishutumu chama hicho cha upinzani, ikidai kimerekodi maudhui ya video hiyo na kuyasambaza kwenye mitandao yake ya kijamii, pamoja na ya wafuasi wake, maudhui ambayo yanaashiria kutengenezwa kwa makusudi kwa lengo la kutaka kumshushia hadhi kiongozi wao.
Mwananchi Digital ilipomuuliza Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuhusu barua hiyo, amekiri ni kweli japo aligoma kufafanua kwa madai yupo likizo.
"Siwezi kulifanunua jambo hili kwa undani niko likizo," amesema.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amekana chama hicho kuhusika na suala hilo huku akieleza hata mitandao ya chama hicho haijarekodi taarifa zinazoelezwa kupitia barua ya msajili.
"Toka nilipopokea barua hiyo Oktoba 2, 2023 nimepitia mitandao rasmi ya kijamii ya Chadema sijaona video hiyo. Nafahamu pia Chadema haijatengeneza video yenye maudhui kama hayo yanayolalamikiwa," amesema Mnyika.
Mnyika amedai Ofisi ya Msajili inaendelea kupokea malalamiko hayo kutokana na kanuni kandamizi za maadili ya vyama vya siasa za mwaka 2019 zilizotokana na marekebisho mabaya ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2019.
"Tunaendelea kutaka Katiba Mpya itakayowezesha kuwa na taasisi huru ikiwamo ofisi huru ya Msajili wa Vyama na kutungwa kwa sheria mpya ya vyama itakayolinda demokrasia, uhuru na haki za vyama vyama vya siasa," amesema.
Heshima kitu cha bure, position ya Msajili wa vyama vya siasa ni lazima ishikwe na mtu mwenye title ya Jaji mstaafu, hivyo kumtaja lazima uiweke title yake proper, ile title kama ya udakitari wa heshima, it's a real title kama ya Dr, Adv, CPA. Eng. Prof. etc kumuita Francis Mutungi bila Jaji Francis Mutungi ni kumdharau!.
Nafasi nyingine zinazishikwa na Jaji mstaafu ni Mwenyekiti wa NEC, Mwenyekiti wa Tume ya Maadili na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Acha dharau!. And this is not the first time!, kiburi sii maugwana!.
P
Mkuu paschal mayala heshima haidaiwi Wala haiombwi huja yenyewe Kwa hili mtungi hastahili heshima hata kidogo ukiwemo wewetetezi wa wajingaHeshima kitu cha bure, position ya Msajili wa vyama vya siasa ni lazima ishikwe na mtu mwenye title ya Jaji mstaafu, hivyo kumtaja lazima uiweke title yake proper, ile title kama ya udakitari wa heshima, it's a real title kama ya Dr, Adv, CPA. Eng. Prof. etc kumuita Francis Mutungi bila Jaji Francis Mutungi ni kumdharau!.
Nafasi nyingine zinazishikwa na Jaji mstaafu ni Mwenyekiti wa NEC, Mwenyekiti wa Tume ya Maadili na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Acha dharau!. And this is not the first time!, kiburi sii maugwana!.
P
Sasa mbona haujaweka hiyo videoMsajili wa Milele wa Vyama vya siasa nchini Tanzania , Francis Mutungi , ameokota taarifa mitandaoni anbako inadaiwa kuna video ya Aibu ya kiongozi wa ccm inasambaa mitandaoni .
Sasa Mtukufu Mutungi moja kwa moja kaisingizia Chadema.
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekiri kupokea barua kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, inayowataka wajielezea ndani ya siku tano, tangu kupokea barua hiyo.
Kwa kujibu wa barua hiyo ambayo bado haijawekwa hadharani ilipokelewa na chama hicho tangu Oktoba 2, 2023 mchana, kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa ikitaka wajielezea kwa madai ya kurekodi maudhui ya video ya kumdhalilisha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
CCM inakishutumu chama hicho cha upinzani, ikidai kimerekodi maudhui ya video hiyo na kuyasambaza kwenye mitandao yake ya kijamii, pamoja na ya wafuasi wake, maudhui ambayo yanaashiria kutengenezwa kwa makusudi kwa lengo la kutaka kumshushia hadhi kiongozi wao.
Mwananchi Digital ilipomuuliza Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuhusu barua hiyo, amekiri ni kweli japo aligoma kufafanua kwa madai yupo likizo.
"Siwezi kulifanunua jambo hili kwa undani niko likizo," amesema.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amekana chama hicho kuhusika na suala hilo huku akieleza hata mitandao ya chama hicho haijarekodi taarifa zinazoelezwa kupitia barua ya msajili.
"Toka nilipopokea barua hiyo Oktoba 2, 2023 nimepitia mitandao rasmi ya kijamii ya Chadema sijaona video hiyo. Nafahamu pia Chadema haijatengeneza video yenye maudhui kama hayo yanayolalamikiwa," amesema Mnyika.
Mnyika amedai Ofisi ya Msajili inaendelea kupokea malalamiko hayo kutokana na kanuni kandamizi za maadili ya vyama vya siasa za mwaka 2019 zilizotokana na marekebisho mabaya ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2019.
"Tunaendelea kutaka Katiba Mpya itakayowezesha kuwa na taasisi huru ikiwamo ofisi huru ya Msajili wa Vyama na kutungwa kwa sheria mpya ya vyama itakayolinda demokrasia, uhuru na haki za vyama vyama vya siasa," amesema.
Kwahiyo kumuita mtu kwa tittle Ndio Heshima mkuu?Heshima kitu cha bure, position ya Msajili wa vyama vya siasa ni lazima ishikwe na mtu mwenye title ya Jaji mstaafu, hivyo kumtaja lazima uiweke title yake proper, ile title kama ya udakitari wa heshima, it's a real title kama ya Dr, Adv, CPA. Eng. Prof. etc kumuita Francis Mutungi bila Jaji Francis Mutungi ni kumdharau!.
Nafasi nyingine zinazishikwa na Jaji mstaafu ni Mwenyekiti wa NEC, Mwenyekiti wa Tume ya Maadili na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Acha dharau!. And this is not the first time!, kiburi sii maugwana!.
P
Ndio tatizo la kutumia real name. Huwezi kuwa real hata kidogo. Kwenye kila jambo lazima uishi kwa kujikomba komba...Ni aibu sana Mzee kuwa Chawa
Teuzi utaishia kuzisikia kwenye Bomba tu.Heshima kitu cha bure, position ya Msajili wa vyama vya siasa ni lazima ishikwe na mtu mwenye title ya Jaji mstaafu, hivyo kumtaja lazima uiweke title yake proper, ile title kama ya udakitari wa heshima, it's a real title kama ya Dr, Adv, CPA. Eng. Prof. etc kumuita Francis Mutungi bila Jaji Francis Mutungi ni kumdharau!.
Nafasi nyingine zinazishikwa na Jaji mstaafu ni Mwenyekiti wa NEC, Mwenyekiti wa Tume ya Maadili na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Acha dharau!. And this is not the first time!, kiburi sii maugwana!.
P
Video ipiMsajili wa Milele wa Vyama vya siasa nchini Tanzania , Francis Mutungi , ameokota taarifa mitandaoni anbako inadaiwa kuna video ya Aibu ya kiongozi wa ccm inasambaa mitandaoni .
Sasa Mtukufu Mutungi moja kwa moja kaisingizia Chadema.
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekiri kupokea barua kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, inayowataka wajielezea ndani ya siku tano, tangu kupokea barua hiyo.
Kwa kujibu wa barua hiyo ambayo bado haijawekwa hadharani ilipokelewa na chama hicho tangu Oktoba 2, 2023 mchana, kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa ikitaka wajielezea kwa madai ya kurekodi maudhui ya video ya kumdhalilisha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
CCM inakishutumu chama hicho cha upinzani, ikidai kimerekodi maudhui ya video hiyo na kuyasambaza kwenye mitandao yake ya kijamii, pamoja na ya wafuasi wake, maudhui ambayo yanaashiria kutengenezwa kwa makusudi kwa lengo la kutaka kumshushia hadhi kiongozi wao.
Mwananchi Digital ilipomuuliza Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuhusu barua hiyo, amekiri ni kweli japo aligoma kufafanua kwa madai yupo likizo.
"Siwezi kulifanunua jambo hili kwa undani niko likizo," amesema.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amekana chama hicho kuhusika na suala hilo huku akieleza hata mitandao ya chama hicho haijarekodi taarifa zinazoelezwa kupitia barua ya msajili.
"Toka nilipopokea barua hiyo Oktoba 2, 2023 nimepitia mitandao rasmi ya kijamii ya Chadema sijaona video hiyo. Nafahamu pia Chadema haijatengeneza video yenye maudhui kama hayo yanayolalamikiwa," amesema Mnyika.
Mnyika amedai Ofisi ya Msajili inaendelea kupokea malalamiko hayo kutokana na kanuni kandamizi za maadili ya vyama vya siasa za mwaka 2019 zilizotokana na marekebisho mabaya ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2019.
"Tunaendelea kutaka Katiba Mpya itakayowezesha kuwa na taasisi huru ikiwamo ofisi huru ya Msajili wa Vyama na kutungwa kwa sheria mpya ya vyama itakayolinda demokrasia, uhuru na haki za vyama vyama vya siasa," amesema.
💯%Jaji Uchwara Mutungi.