DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
Pascal Mayalla unapofananisha kiongozi na baba yako mama yako au mjomba wako unakosea sana. Kinachotuunganisha sisi na viongozi iwe wa kuchaguliwa au kuteuliwa ni dhamana na majukumu tuliyowapa kisheria na kikatiba.Kwahiyo Jaji katuzaa watanzania
Au CPA katuzaa?
Uzee unakujia kwa kasi sana 😂😂🔥
Hii dhana ya kuwafananisha na wazazi wetu ndio inatunyima nguvu ya kuwahoji na kuwawabisha, ni kama baba au mama afanye kosa nyumbani ni kweli siwezi kumuitisha kikao au kumtaka awajibike kwakuwa sio baba yangu kwa mujibu wa sheria na katiba. Lakini kiongozi sio mama wala baba yangu akifanya ujinga nitamwambia umefanya ujinga au upumbavu. Hili ni tatizo kubwa sana kwenye nchi za kijamaa ndio mana kuwajibishana kumekua kugumu sababu ya kuangaliana kwa jicho la undugu badala ya uongozi.