Jaji Francis Mutungi ailima barua CHADEMA, ataka ijieleze ndani ya siku 5

Francis mutungi.
 
Hata siyo yale matusi ya nguoni ya tundulissu na mbatiya kweli. Mwaka 1985 nakumbuka Rais mpya walimtukana kina Mbatiya chuo kikuu matusi ya nguoni eti ana wake wawili. Majuzijuzi tundulissu ka.tukana Rais eti "anajiita mama". Yaani Tanzania tunayoijua sisi haiko hivo. Msajili In ndiye huyo huyo Msajili Out ukivunja masharti ya usajili wako.
 
Nimecheka hapa msajili wa kudumu nanyi pia mnaye mwenyekiti wa kudumu!
 
Umemfumua ubongo
kuna watu hawana hadhi ya kuitwa waheshiniwa kutokana na matendo yao regardless ya nafasi au vyeo walivyo navyo. Julius Nyerere hakujiita mheshimiwa na alikua na ana heshima kuanzia ngazi ya kijiji mpaka Dunia. hawa wapuuzi wanajikweza kuitwa waheshimiwa wakati matendo yao yanawadharaulisha kwenye jamii according to our moral standards. Ndio mana tunasema heshima ni kitu cha bure hakipaswi kudaiwa au kulazimishwa.
 
Kwamba wamarekani wanamdharau Obama mwenye PHD ya havard Kwa kuandika Jina lake bila kuweka DR BALLACK OBAMA!!!!

Heshima kama IPO, IPO tu.
 
Yaani Samia asipo waona Hadi anatoka kwenye urahisi wewe na mwenzako wa kuitwa Mwashamba mnaweza changanyikiwa, Kwa kweli mnakipigania chama.
 
Sasa huyu Mutungi naye vipi? Si ange share hako ka koneksheni na sisi tuonepo?
 
Hivyo kumtaja lazima uiweke title yake proper, ile title kama ya udakitari wa heshima, it's a real title kama ya Dr, Adv, CPA. Eng. Prof. etc kumuita Francis Mutungi bila Jaji Francis Mutungi ni kumdharau!.
Acha dharau!. And this is not the first time!, kiburi sii maugwana!.
P
Kwani usipoitwa jina lako kwa kuanza na hivyo vitangulizi vya Dr, Prof. Adv nk unapungukiwa nini eti?

Kama ni msajili wa vyama, anakoma kuwa msajili wa vyama kwa kuwa katajwa jina lake pasipo kuweka hiko kitangulizi?

Heshima ya mtu haipo kwenye cheo au vitangulizi vya majina...

Heshima ya mtu iko kwenye kile anachokifanya yeye mwenyewe katika jamii. Tenda lililo jema na la haki Kwa watu utaheshimika bila kujali una hivyo vitangulizi au la..

Ukinilazimisha nikuite kwa kitangulizi hicho labda kwa sababu umeniwekea bunduki kichwani, nitafanya hivyo bila shaka...

Lakini wewe kama ni mjinga na mpumbavu utabaki na sifa hizo siku zote..

Na wewe acha kulazimisha heshima.

Respect is earned. It never comes by force or Kwa kutungiwa sheria!!
 
ameokota taarifa mitandaoni anbako inadaiwa kuna video ya Aibu ya kiongozi wa ccm inasambaa mitandaoni .
Si ilitakiwa huyo kiongozi wa chama chetu ndiye achukuliwe hatua kwa kukidhalilisha chama!!!
 
Huishi kijikomba, rubbish
 
Kama umejiunga Jana JF unaweza kufikiri taarifa za mtoa mada ni za kweli ila ukifuatilia utajilaumu sana kwa kuamini uongo wake
Uwe unapunguza ujinga unapoamka. Uongo wake ni upi wakati barua ya Mutungi imeonyeshwa na Mnyika? Na Mnyika kawaomba Wenye video na pocha za kudhalilisha viongozi wa CHADEMA wazitume kwake ili amwandike Mutungi CCM wajieleze?
 
Kumheshimu Mtu asiyejiheshimu kama Mutungi ni kudhalilisha neno lenyewe "HESHIMA".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…