Kwani haiwezekani kwa uhalali kabisa Jaji kuona kwamba Mbowe ana kesi ya kujibu, kwa maana ya kwamba kuna suala lina utata wa kufafanuliwa na kujulikana kisheria, si kwamba Mbowe ana hatia, au hata Jqji kutaka Mbowe kupata nafasi ya kusafisha jina lake mahakamani kwa ku challenge mashitaka, halafu, hapo hapo, upande wa mashitaka ukajiona wenyewe hauna kesi yenye ushahidi wa kutosha kumshitaki Mbowe?
Kama kweli Mbowe hana hatia, hamuoni kwamba Jaji, kwa kumpa Mbowe nafasi ya kujitetea bila kusema hakuna kesi ya kujibu, alikuwa amempa Mbowe nafasi nzuri ya kupata haki yake ya kuwa exonerated through a court procedure itakayochambua kesi kwa umakini, na kwamba sasa, kwa mashitaka kufutwa, Mbowe amekosa haki yake hii?
Where is the contradiction?