WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Hamna Jaji mule...alichezea nafasi yake wakati utetezi wamefunga ushahidi....
Jaji hasara...
Jaji hasara...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki 5 posho na laki 2 ya kulala hotel.Jaji Joakim anachukua posho ya shs ngapi kwa siku
Mahakama ipi hii inayomuogopa bashite auKesi ya mchongo lakini alikutwa na KESI ya kujibu?
uwa mnajipa madaraka ya mahakama
TEC ipi hiyo hii yenye maaskofu wanaolawiti watoto wadogo?? Wewe ni kenge hujitambui na udini wako takataka wewe[emoji871]Wacha kupotosha Umma wa watanzania.
[emoji871]Chadema hiyo hiyo ndio mliomtuma makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu kwenda kumuombea msamaha huko Ubelgiji.
[emoji871]Ni Chadema hao hao mliomtuma Askofu mkuu KKKT Gideon Shoo akiandamana na Kada mtiifu wenu Askofu Dk Benson Bagonza.
[emoji871]Kumuomba Mh Rais kumuachia huru Mbowe.
[emoji871]Kisheria hiyo kesi kama ingeanza kusikilizwa,kulikuwa Ni no Point of Return.
[emoji871]Wafuasi wa Chadema busara zenu ndogo sana.
[emoji871]Mkipewa fare deal bado mnaendekeza chokochoko tu.
[emoji871]Ndio maana maaskofu makini wa TEC walikataa kuhudhuria kikao kile ili kulinda heshima zao.
Mahakama ipi hii inayomuogopa bashite au
So mahakama inamuogopaBashite Yule ni mteuliwa mstaafu wa mamlaka ya uteuzi
Hachukuliwi kiboya boya
mahakama ni tawi la ccmKitendo cha Jaji Joachim Tiganga aliyekuwa anasikiliza kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake watatu kuamua kuwa wana kesi ya kujibu na baadaye serikali kupitia kwa DPP kusema hawana nia ya kuendelea na kesi kimeidhalilisha sana mahakama.
Endapo Jaji Tiganga angemaliza kesi hii mara baada ya Jamuhuri kumaliza ushahidi wake kwa kuamua kuwa akina Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu, mahakama ingejijengea heshima kubwa sana kwa Watanzania na Dunia kwa ujumla. Hivi sasa mahakama imedhihirisha haiko huru na inategemea maoni ya serikali kuamua kesi.
Udhaifu huu wa mahakama umemfanya Samia kuwa shujaa (heroine) na kijizolea sifa asizostahili ndani na nje ya nchi. Sifa ambazo mahakama ingezipata kama ingetoa hukumu ya haki.
Jaji Mkuu anapaswa kujitafakari sana na hasa kwa kauli yake ya kuwataka majaji kutoa hukumu kwa kuzingatia maoni ya Jamuhuri.
Huyu Jaji ni mhujumu uchumi na kisha akasema kuna kesi ya kujibu wakati DPP kakataaLaki 5 posho na laki 2 ya kulala hotel.
Hii kesi walikuwa wakiisogeza mbele Ili watafune kodi zetu.Washajenga washanunua magari kupitia kesi hii.
Waliomba rais atumie busara kumaliza suala hilo, siyo kumsamehe (amsamahe kwa kosa gani/lipi?)3.Siku Moja kabla ya Mbowe kuanza kujitetea,Rais anakutana na viongozi wa dini na anaombwa amalize suala la Mbowe Kwa kumsamehe!
Ila pesa isiyo ya haki huwa haina maendeleo, utashangaa hizo milioni 40 pengine leo hawana hata mia na hakuna cha maana mtu kafanya.Jaji angemaliza mapema angekosa kupiga perdiem hapo watu wamepiga pesa ndefu sn kila mmoja siyo chini ya 40M toka kesi ianze nje na mishahara yao
Nadhani tatizo ni uwezo wako wa kuchanganua mambo. Aliyeleta kesi na Mashahidi wote ni DPP, baadae tukaona DPP kashindwa kuleta Mashahidi wengine wengi tuu akafunga ushahidi. Tumeona sote kilichoendelea mahakamani na jinsi Mashahidi wote walivyoshindwa kuthibitisha pasi na shaka ushiriki wa Mbowe na wenzake kwenye ugaidi.Sasa Kama mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu mlitaka mahakama iseme hana hatia?
Nadhani tatizo ni uwezo wako wa kuchanganua mambo. Aliyeleta kesi na Mashahidi wote ni DPP, baadae tukaona DPP kashindwa kuleta Mashahidi wengine wengi tuu akafunga ushahidi. Tumeona sote kilichoendelea mahakamani na jinsi Mashahidi wote walivyoshindwa kuthibitisha pasi na shaka ushiriki wa Mbowe na wenzake kwenye ugaidi.
Kuhoga mademu na kwa waganga wa kienyejiIla pesa isiyo ya haki huwa haina maendeleo, utashangaa hizo milioni 40 pengine leo hawana hata mia na hakuna cha maana mtu kafanya.
Hukumu ilitoka kuwa Mbowe yupo huruUmesema wameshindwa kuthibitisha UGAIDI wa MBOWE.kwani mahakama imetoa hukumu?