Jaji Joachim Tiganga ameikosesha Mahakama point tatu muhimu dhidi ya Serikali

Kwani haiwezekani kwamba kukawa na ushahidi wenye utata fulani, utata unaotakiwa kutatuliwa kwa kesi kusikilizwa, na hilo likasababisha mshtakiwa awe na kesi ya kujibu, hata kama ni kwa kujisafisha, na jaji kusema kuna kesi ya kujibu?

Kwani kuwa na kesi ya kujibu hakuwezekani kuletwa na technicality ambayo haina uhusiano wowote na mtu kuwa au kutokuwa na hatia?
 
Aaaaaiiiseee 😀
 
Nani kama mama?

Kwani mara ya kwanza hii kwa mama kuachia waliokuwa wanasubiri kesi za kigaidi mahakamani? Fikiri. Uamsho wako wapi?

Bwana Yule alitisha hata majaji. Nani asiyeelewa hilo? Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Yeye Rais hataki haki itendeke? Nimemsikia katika clip ya leo kuwa anapenda "HAKI".
Kwani ukitamka nampenda fulani inamaanisha unataka kulala nae?
Yeye anapenda HAKI (itendeke upande wake )
 

Pathetic Driving
 
Ubabaishaji Mtupu. Hivi sie akina kwangu pakavu tia mchuzi,si tunaozea jela kwa kubambikiwa Kesi? Hivi wale waliokuwa wana shadadia kuwa Mbowe ni Gaidi,,sura zao leo hii wameziweka wapi? Hivi Jaji anajisikiaje ,,?? Kuna mengi mengi sana ya kujiuliza,,Hivi hii Mahakama iko kwa ajili ya Mujibu wa katiba? au iko kwa mujibu wa watawala? Sielewi hapa,,nimekwama ndugu zangu,,kuijua mahaka kuwa ni ya watawala au ni ya mujibu wa katiba.
 
kesi ya mchongo lakini Cha ajabu hamjui huo mchongo ulichongwa vipi?
Nyie mmekomaa tu kesi ya mchongo kesi ya mchongo.ila hamtoi maelezo huo uchongo ukoje.
Mbowe ana wafuasi weupe sana.
Wasiopenda kuhoji
Hata mgambo wa jiji walikuwa wanajua kuwa kesi ilikuwa ya mchongo mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…