Jaji Kiongozi Siyani: Mahakama ni lazima itende haki vinginevyo wananchi watajichukulia sheria mkononi

Jaji Kiongozi Siyani: Mahakama ni lazima itende haki vinginevyo wananchi watajichukulia sheria mkononi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Jaji Kiongozi Mh Mustapha Siyani amewataka watumishi wa mahakama watende Haki kwani bila kufanya hivyo wananchi watajichukulia sheria mkononi akitolea mfano wa ongezeko la mauaji linalotokea nchini kwa sasa.

Jaji Siyani alikuwa anaongea na watumishi wa mahakama wilayani Kondoa, Dodoma.

Chanzo: ITV habari!

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Huyu Jaji Kiongozi wa kuyasema hayo leo, baada ya "kupewa mlungula" wa cheo ili asitende Haki Katika Kesi ya Mbowe?🙄
Mnachekesha maana msipopata mnachotaka hapo hakuna haki
 
Tanzania kwa unafki tuanongoza Duniani.Ila ipo siku huu uhuni utaisha na Kila mtu atabeba msalaba wake.
 
Huyu Jaji ni wa kusema haya kweli? Hata aibu haoni?
Siku ya kiyama kuna watu wao watakuwa kuni za kuchoma wengine!
 
Jaji Kiongozi mh Mustapha Siyani amewataka watumishi wa mahakama watende Haki kwani bila kufanya hivyo wananchi watajichukulia sheria mkononi akitolea mfano wa ongezeko la mauaji linalotokea nchini kwa sasa.

Jaji Siyani alikuwa anaongea na watumishi wa mahakama wilayani Kondoa, Dodoma.

Chanzo: ITV habari!

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Tutaanza naye
 
Hichi kisa na cha kweli kabisa
Akiwa hakimu pale Arusha alimuhukumu miaka kadha jela mtuhumiwa na akamaliza kifungo chake na kuwa huru.Lakini aliendelea na uwizi.

siku moja yule hakimu anatoka baa usiku mkubwa akakutana na yule mwizi akiwa na wenzake,wakamsimamisha,yule mwizi akamtambua na akamwambia unanikumbuka ulinifunga miaka kadha,yule hakimu kusikia vile akajuwa amekwisha. Lakini yule mwizi akamwambia mh.hakimu hukukosea kwani ni kweli nilifanya uhalifu na nilistahili adhabu.

Basi woote wakamsindikiza mpaka kwake. Hii ilikuwa miaka ya sabini na hakimu yule akapanda mpaka kuwa jaji na mpaka kuwa balozi nchi za nje.sasa hivi ni mstaafu.

Aliniambia ukitenda haki ukanakuwa salama kwani ALLAH huwa anakilinda.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom