johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa kuanza na kesi ya Mbowe.Na awe wa kwanza kutenda haki!
Shangaa na wwYeye mwenyewe alishindwa kutenda haki anataka wenzie ndiyo watende!!
Mnachekesha maana msipopata mnachotaka hapo hakuna hakiHuyu Jaji Kiongozi wa kuyasema hayo leo, baada ya "kupewa mlungula" wa cheo ili asitende Haki Katika Kesi ya Mbowe?🙄
Maigizo tupuMahakama sio chombo huru kwa nchi hizi za kiswahili
Tutaanza nayeJaji Kiongozi mh Mustapha Siyani amewataka watumishi wa mahakama watende Haki kwani bila kufanya hivyo wananchi watajichukulia sheria mkononi akitolea mfano wa ongezeko la mauaji linalotokea nchini kwa sasa.
Jaji Siyani alikuwa anaongea na watumishi wa mahakama wilayani Kondoa, Dodoma.
Chanzo: ITV habari!
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Mpinge kwa hoja!Huyu Jaji ni wa kusema haya kweli? Hata aibu haoni?
Siku ya kiyama kuna watu wao watakuwa kuni za kuchoma wengine!