Jaji Kiongozi Siyani: Mahakama ni lazima itende haki vinginevyo wananchi watajichukulia sheria mkononi

Kama sio kuvunga labda atakuwa amesoma alama za nyakati ama kapatwa na maono maana watu wanazidi kuvurugwa kweli-kweli !!
 
Kwani jaji ana wasiwasi gani, si mahakama zetu zinatenda haki kwa majibu wa sheria? Nini kimempa shaka hata kutoa kauli hiyo?
 
Hawa viongozi WA Africa tabu sana. Jaji Siyani anapata wapi huo ujasiri WA kuyasema hayo?? Kwenye kesi ya MH. Mbowe alitenda haki??
 
This blood so called judge is nonsense! aliyoyafanmya kwenye kesi ya Mbowe ndiyo haki? Majitu ya limu ya kuunga unga wanaokoteza huko na kuyapa ujaji
 
Huyo si jaji wa kesi ya mbowe yeye alitenda haki lini
 
Hata kwa Kesi ya Mh Mbowe ndugu jaji kiongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…