Sijakataa kwamba ni ndugu. lakini undugu wao hauhusiani na kazi watakazofanya. na wala hakuna ushahidi uliowekwa hapa kwamba eti Othmani wa TISS ndiye aliyechagiza kuteuliwa kwa huyu Ndg yake New CJ. kama unao ushahidi weka hapaIli kusave muda naomba utuambie mtoa mada amedanganya wapi Je hawa jamaa sio ndugu??????
"(Naanza)......... Kwa jina la Mwenyezi Mungu, mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na mwenye kuneemesha neema ndogo ndogo"Tusaidie tafsiri yake basi ili na sisi tukawachemshe wengine
Sijakataa kwamba ni ndugu. lakini undugu wao hauhusiani na kazi watakazofanya. na wala hakuna ushahidi uliowekwa hapa kwamba eti Othmani wa TISS ndiye aliyechagiza kuteuliwa kwa huyu Ndg yake New CJ. kama unao ushahidi weka hapa
Hivi cheo cha Primi Kabanga ni sahihi hapo kweli(blu) au angetakiwa awe Mwandishi MsaidiziUNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, kuanzia tarehe 28 DIsemba, 2010.
Jaji Othman anachukua nafasi ya Jaji Augustino Ramadhani anayestaafu kwa mujibu wa sheria tarehe 27 DIsemba, 2010.
Kwa sasa Jaji Othman ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa na pia ni mtaalamu binafsi juu ya hali ya Haki za Binadamu huko Kusini mwa Sudan, hadi mwezi Agosti 2011.
Jaji Othman alizaliwa tarehe 1 Januari, 1952, ana shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) ya Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam na Shahada ya Uzamili (MA) kutoka katika Chuo Kikuu cha Webster, Geneva-Uswisi.
Amewahi kuwa Makamu wa Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Rwanda huko Arusha na amewahi kushika nafasi sawa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali huko Timor Mashariki.
Jaji Othman pia, amewahi kufanya kazi ndani na nje ya nchi katika Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa kama vile Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) na Shirika la Msalaba Mwekundu.
Jaji Othman ataapishwa kesho tarehe 27 Disemba, 2010 katika viwanja vya Ikulu saa 4:00 asubuhi.
Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi
Ikulu
Dar es Salaam
26 Disemba, 2010
Ni mtu mwenye akili zenye kuenea kwenye kizibo cha soda tu ndie anaweza asione walakini kwenye huu uteuzi!Sijakataa kwamba ni ndugu. lakini undugu wao hauhusiani na kazi watakazofanya. na wala hakuna ushahidi uliowekwa hapa kwamba eti Othmani wa TISS ndiye aliyechagiza kuteuliwa kwa huyu Ndg yake New CJ. kama unao ushahidi weka hapa
Hivi cheo cha Primi Kabanga ni sahihi hapo kweli(blu) au angetakiwa awe Mwandishi Msaidizi
wa Habari wa Rais maana yake hapo kwenye blue ni kama vile yeye ni mwandishi wa habari wa msaidizi wa Rais (makamu wa Rais?) wataalamu wa lugha karibuni
Oic ,kadhi, zimenukia .dah udini utaiangamiza nchi .mahakama ,bunge kwisha kazi.
Sijakataa kwamba ni ndugu. lakini undugu wao hauhusiani na kazi watakazofanya. na wala hakuna ushahidi uliowekwa hapa kwamba eti Othmani wa TISS ndiye aliyechagiza kuteuliwa kwa huyu Ndg yake New CJ. kama unao ushahidi weka hapa
Nchi haiko salama kabisa chini ya JK!
Mkwere mdini na atuendleza forever
Ndg Upo sawa, well and good. lakini kwa mujibu wa Ibara ya 36 ya Katiba hii tunayotaka ibadilishwe, hayo uliyoyasema kuhusu Vetting hayapo, so bado Rais ndiye anayefanya maamuzi ya mwisho nani amteue kulingana na LABDA na maslahi yake yeye mwenyewe kama Mkulu, ndio kama wachangiaji wengine wanasema labda kateuliwa kwa sababu za kuianzisha Mahakama ya Kadhi, OIC....etc. bado nasisitiza sidhani kwamba DG wa TISS ndio kachagiza uteuzi wa New CJNdugu yangu, hakuna mjadala kuwa Chief Justice kama vyeo vingine kama mawaziri, wakurugenzi wa mashirika ya umma, etc, lazima wafanyiwe vetting na usalama wa taifa, TISS. Vijana wa TISS wanafanya vetting, wanampelekea mkuu wa TISS then anampelekea Rais. Mwenye final input kwenye file za vetting za watu kabla haijaenda kwa Rais ni mkuu wa TISS. Sasa kwenye issue hii Othman wa TISS ilikuwa ni wazi kuwa ana conflict of interest kwa kuwa mdogo wake pia yupo kwenye majina haya. Mkuu wa TISS anaweza kuandika file zuri kwa mtu mmoja na kuwachafua wengine hivyo ku-influence uteuzi wa Rais moja kwa moja.