Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kesi zinatakiwa kufikishwa mahakama baada ya upelelezi kukamilika lakini kinachofanyika ni tofauti na kusababishia wafungwa kujaa magereza.
Kiongozi huyo aliyasema hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha mawakili alisema tangazo lilitolewa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) mwaka 2012 linawataka wasikamate watu kabla ya upelelezi kukamilika.
“Kwa bahati mbaya hilo halifuatwi utakuta watu wanakamatwa ndipo upelelezi unaanza hilo linachangiwa, alisesema Jaji Mkuu.
Aidha, Jaji Mkuu alisema kumekuwa na changamoto upelelezi kutumia muda mrefu kukamilika hivvyo wapelelezi wanatakiwa kulaumiwa na sio mahakama.
“Watu wa kulaumiwa hasa ni wspelelezi na sio mahakama upelelezi unachukua muda mrefu na sababu wanazozitoa mahakamani hazina mashiko sisi tunataratibu zetu ambazo DPP alishazitoa katika tangazo la mwaka 2012,” alisema Jaji Mkuu.
Aliongezea kuwa:” Tangazo linasema usimkamate mtu kabla ya upelelezi kukamilisha bahati mbaya hilo halifuatwi watu wanawakamata ndipo upelelezi unaanza inachabgia kuongeza wafungwa gerezani,” alisema Jaji Mkuu.