LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Huyu anasema tu, kwa mini asiwaagize mahakimu na majaji kutupilia mbali mikesi isiyoisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anasema tu, kwa mini asiwaagize mahakimu na majaji kutupilia mbali mikesi isiyoisha
Na kama una uhakika kauwa sasa unampeleka mahakamani kufanya nini?Yaani uuwe Leo uachwe tu mpaka upelelezi ukamilike mwezi septemba,2019 na wewe unasubiri upelelezi? Utakuwa siyo mtanzania labda.
Huyu Jaji ni mnafiki, na ataingia kwenye vitabu vya historia ya Tanzania kama Jaji ambaye amekuwa 'highly compromised by the exexutive'...Jaji Mkuu hatakiwi kuwashinikiza majaji na mahakimu ktk maamuzi yao.
..lakini pia Jaji Mkuu aliwahi kutoa kauli kuwa Mahakama haitatoa ushirikiano kwa wanaharakati.
..Sasa hoja hii ya kupinga wananchi kuwekwa mahabusu muda mrefu huku upelelezi haujakamilika ni hoja ya muda mrefu wa wanaharakati.
..kwa hiyo inafurahisha kwamba Jaji Mkuu ameona mantiki ktk hoja hiyo na ameamua kuiunga mkono.
..Lakini itapendeza na itakuwa jambo la kiungwana kama ataomba radhi kwa kauli zisizopendeza alizowahi kutoa dhidi ya wanaharakati.
Toka sirikale hii imeingia imehakikisha kila ateuliwaye kwenye nafasi nyeti ana utaalamu wa kucheza rhumba hili. Ni kampeni tuuuu kila siku kwenye media jinsi walivyo watakatifuHuyu Jaji ni mnafiki, na ataingia kwenye vitabu vya historia ya Tanzania kama Jaji ambaye amekuwa 'highly compromised by the exexutive'.
Wananchi tunashangaa kwa nini Polisi wanakamata watu na kuwapeleka Mahakamani wakati upelelezi bado haujakamilika, naye Jaji Mkuu Profesa Juma anashangaa kama wananchi mbali na nguvu za kikatiba alizonazo
Mhimili wake una nguvu kikatiba ya siyo tu kuzifuta kesi hizo bali kuwachukulia hatua Polisi ambao wanakiuka maagizo hayo.
Naheshimu sana mawazo yako!Huyu jamaa ndio jaji mkuu wa kiwango cha chini zaidi kuwahi kutokea nchi hii tangu ipate uhuru
Kama DPP alitoa tangazo hilo tangu 2012 mh. Jaji utasemaje ni"bahati mbaya" watu kupelekwa mahakamani kabla ya upelelezi kukamilika?? Huo ni moja ya mifumo iliyotengenezwa makusudiJaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kesi zinatakiwa kufikishwa mahakama baada ya upelelezi kukamilika lakini kinachofanyika ni tofauti na kusababishia wafungwa kujaa magereza.
Kiongozi huyo aliyasema hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha mawakili alisema tangazo lilitolewa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) mwaka 2012 linawataka wasikamate watu kabla ya upelelezi kukamilika.
“Kwa bahati mbaya hilo halifuatwi utakuta watu wanakamatwa ndipo upelelezi unaanza hilo linachangiwa, alisesema Jaji Mkuu.
Aidha, Jaji Mkuu alisema kumekuwa na changamoto upelelezi kutumia muda mrefu kukamilika hivvyo wapelelezi wanatakiwa kulaumiwa na sio mahakama.
“Watu wa kulaumiwa hasa ni wspelelezi na sio mahakama upelelezi unachukua muda mrefu na sababu wanazozitoa mahakamani hazina mashiko sisi tunataratibu zetu ambazo DPP alishazitoa katika tangazo la mwaka 2012,” alisema Jaji Mkuu.
Aliongezea kuwa:” Tangazo linasema usimkamate mtu kabla ya upelelezi kukamilisha bahati mbaya hilo halifuatwi watu wanawakamata ndipo upelelezi unaanza inachabgia kuongeza wafungwa gerezani,” alisema Jaji Mkuu.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kesi zinatakiwa kufikishwa mahakama baada ya upelelezi kukamilika lakini kinachofanyika ni tofauti na kusababishia wafungwa kujaa magereza.
Kiongozi huyo aliyasema hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha mawakili alisema tangazo lilitolewa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) mwaka 2012 linawataka wasikamate watu kabla ya upelelezi kukamilika.
“Kwa bahati mbaya hilo halifuatwi utakuta watu wanakamatwa ndipo upelelezi unaanza hilo linachangiwa, alisesema Jaji Mkuu.
Aidha, Jaji Mkuu alisema kumekuwa na changamoto upelelezi kutumia muda mrefu kukamilika hivvyo wapelelezi wanatakiwa kulaumiwa na sio mahakama.
“Watu wa kulaumiwa hasa ni wspelelezi na sio mahakama upelelezi unachukua muda mrefu na sababu wanazozitoa mahakamani hazina mashiko sisi tunataratibu zetu ambazo DPP alishazitoa katika tangazo la mwaka 2012,” alisema Jaji Mkuu.
Aliongezea kuwa:” Tangazo linasema usimkamate mtu kabla ya upelelezi kukamilisha bahati mbaya hilo halifuatwi watu wanawakamata ndipo upelelezi unaanza inachabgia kuongeza wafungwa gerezani,” alisema Jaji Mkuu.
Sasa siwawe wanawaachia mpaka waletwe ushahidi ukiwa umekamilika wanashindwa nini? Yeye si ndio mkuu wa mhimili atoe agizo au anaogopa maagizo toka juu.Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kesi zinatakiwa kufikishwa mahakama baada ya upelelezi kukamilika lakini kinachofanyika ni tofauti na kusababishia wafungwa kujaa magereza.
Kiongozi huyo aliyasema hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha mawakili alisema tangazo lilitolewa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) mwaka 2012 linawataka wasikamate watu kabla ya upelelezi kukamilika.
“Kwa bahati mbaya hilo halifuatwi utakuta watu wanakamatwa ndipo upelelezi unaanza hilo linachangiwa, alisesema Jaji Mkuu.
Aidha, Jaji Mkuu alisema kumekuwa na changamoto upelelezi kutumia muda mrefu kukamilika hivvyo wapelelezi wanatakiwa kulaumiwa na sio mahakama.
“Watu wa kulaumiwa hasa ni wspelelezi na sio mahakama upelelezi unachukua muda mrefu na sababu wanazozitoa mahakamani hazina mashiko sisi tunataratibu zetu ambazo DPP alishazitoa katika tangazo la mwaka 2012,” alisema Jaji Mkuu.
Aliongezea kuwa:” Tangazo linasema usimkamate mtu kabla ya upelelezi kukamilisha bahati mbaya hilo halifuatwi watu wanawakamata ndipo upelelezi unaanza inachabgia kuongeza wafungwa gerezani,” alisema Jaji Mkuu.
Mahakama kikiwa na mwelekeo huu watanzania wengi watakuja na imani nayoJaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kesi zinatakiwa kufikishwa mahakama baada ya upelelezi kukamilika lakini kinachofanyika ni tofauti na kusababishia wafungwa kujaa magereza.
Kiongozi huyo aliyasema hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha mawakili alisema tangazo lilitolewa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) mwaka 2012 linawataka wasikamate watu kabla ya upelelezi kukamilika.
“Kwa bahati mbaya hilo halifuatwi utakuta watu wanakamatwa ndipo upelelezi unaanza hilo linachangiwa, alisesema Jaji Mkuu.
Aidha, Jaji Mkuu alisema kumekuwa na changamoto upelelezi kutumia muda mrefu kukamilika hivvyo wapelelezi wanatakiwa kulaumiwa na sio mahakama.
“Watu wa kulaumiwa hasa ni wspelelezi na sio mahakama upelelezi unachukua muda mrefu na sababu wanazozitoa mahakamani hazina mashiko sisi tunataratibu zetu ambazo DPP alishazitoa katika tangazo la mwaka 2012,” alisema Jaji Mkuu.
Aliongezea kuwa:” Tangazo linasema usimkamate mtu kabla ya upelelezi kukamilisha bahati mbaya hilo halifuatwi watu wanawakamata ndipo upelelezi unaanza inachabgia kuongeza wafungwa gerezani,” alisema Jaji Mkuu.
Dalili ya mvua ni mawingu alichozungumza ni kitu muhumu sana kama ni kweli kinatoka chini ya uvungu wa moyo wa mahakamaAnatakiwa atoe way forward na sio kulalamika. Anamiliki mhimili muhimu
Nionavyo Mimi.
Ndivyo anavyomaanisha. Ila hayo ni mawazo yangu tuPengine Jaji Mkuu anatumia diplomasia kusema kwamba, wengi wansowekwa ndani ni kwa amri ya wanasiasa.
Kwa kusema tu hivyo ni Dira kwa muhimili mzima tena kwa tanzania ya sasa huyu jaji kama kweli anamaanisha anachokisema basi huyu ndio mtu wa kuanza kuombewa na watanzania wote maana kifuatacho ni kuwaachia wote walioshtakiwa kinyume na sheria,ambao kesi zao ni za mda mrefu uchunguzi haujakamilika,kwa kutengenezewa kesi kama mashekhe wa Zanzibar, kabendera,kesi ya kina mbowe,figisu za lisu na ubunge wake n.k binafsi namuona huyu jaji kama ametangaza Vita !!!!!Jaji mkuu eti naye analalamika tu kwani hajui kuwa kwenye vyesi vya sasa vya uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na vinavyohusu wapinzani lengo ni ukomoaji na wala sio kukidhi matakwa ya kisheria.
Kwa ina maana hajui nani yuko nyuma ya hivyo vyesi.
kukaa ndani wakati uchunguzi unaendelea una mantiki gani kwa mtuhumiwa? Kwani akiwa nje uchunguzi hauendi kuendelea? na kama akikaa ndani na mwisho wa siku hana hatia itakuwaje? Tusiwe wepesi kuangalia upande mmoja wa shillingi tuigeuze na kuiangalia upande wa pili unasomekaje, usiombee ovu kwa mwenzio kwani hakuna mwanadamu aliyekamilika chini ya jua sote ni wakosefumpaka james Rugemalira na Harbinder Sethi? ina mana hata kina Kitillya pia haikujuzu kukaa ndani kwa muda wote wakati upepelezi unaendelea?
Yaani uuwe Leo uachwe tu mpaka upelelezi ukamilike mwezi septemba,2019 na wewe unasubiri upelelezi? Utakuwa siyo mtanzania labda.