Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Naam, ila ninachoshangaa ni jinsi mnavyokuwa selective kukemea, hadi vifanywe na utawala msioupenda .[emoji23]
Mahakama hazikusema kwamba Sabaya hana hatia lahasha! Bali procedural errors tu ndo zimefanya kesi iwe quashed otherwise hatia ipo pale pale endapo all procedures zingezingatiwa.Kumekuwepo na kesi za kisiasa ambazo kimsingi hazina ushahidi wa kuthibitisha madai husika.
Raia wamekua wakikaa mahabusu muda mrefu kwa kesi za kubumba kabisa.
Ushahidi wa hayo ni kesi za sabaya ambazo zilifunguliwa kisiasa tu na imethibitika hivyo baada ya mahakama kuona katika kesi zote mbili ushahidi ulikua na utata au hakukuwa na kesi kabisa.
Ukiachana na kushinda kwa kesi hizo zote mbili bado DPP ameruhusu kufungua kesi nyingine kama zile zilizokwisha mkoa mwingine. Mwisho wa kesi hii nao hautakua tofauti sana na hizo nyingine kwani tuhuma zinafanana.
Kutokana na hali hiyo ipo wazi kabisa kwamba mahakama inatumika kama fimbo ya kuumiza Raia.
Na sio jambo jema kwa Jaji mkuu kuruhusu mhimili anao uongoza kutumika vibaya.
Jaji mkuu anapaswa kusimama kidete na kulinda heshima ya mahakama dhidi ya vitendo vinavyopelekea heshima yake kushuka kama hiki cha kutumia mahakama kuadhibu watu.
Mahakama inapomuachia mtu huru haina maana kwamba ameonewa bali katika sheria mtu anaweza kuwa na hatia iliyo wazi kabisa ila upande wa mashitaka ukikosea baadhi ya taratibu za mwenendo wa kesi unavyotaka basi chance ya mtu kuchomoka ni kubwa.Mahakama imethibitisha hivyo katika kesi mbili tofauti.
Ushahidi wa kubumba tu.
Sabaya ni mtu hatari sanaMahakama imethibitisha hivyo katika kesi mbili tofauti.
Ushahidi wa kubumba tu.
HakikaSometimes ni kujitoa tu ufahamu
Sabaya ni jambazi tuNi upumbavu kwa office ya DPP kukubali kutumiwa na makundi ya watu fulani kulipiza kisasi dhidi ya watu wengine!
Mmechafuka nyinyi watetezi wa jambazitaswira ya ofisi ya DPP imechafuka mbele ya jamii.
Mahakama isikubali kutumika kisiasa.
DPP aonywe anachokifanya sio haki kabisa yeye na ofisi yake.
Kama haki yake ipo ipo tu, Jaji mkuu anaingiliaje badala ya kusubiri kesi ije mahakamani. Kesi ikikaribia kwisha Moshi itafunguliwa nyingine Dar, Mwanza, Morogoro, Tanga, hata Zanzibar, na bahati yote ni matukio tofauti. Unajua kabisa kuwa swahiba wako hasingiziwi hata moja, wewe unafikiri mzee Mroso ambaye kweli amenyang'anywa 90m, Diwani Msangi aliyepigwa makofi, wale waliotobolewa kwa misumari wanajisikiaje, hawana haki wao?! kuna kesi itakayokutana na mahakimu na Majaji sahihi biashara itaisha. Tumieni muda mwingi kuwaomba msamaha wahanga wa matendo ya Sabaya. Kama unaishi nje ya Arusha na Moshi , tembelea maeneo hayo upate habari kamili.Kumekuwepo na kesi za kisiasa ambazo kimsingi hazina ushahidi wa kuthibitisha madai husika.
Raia wamekua wakikaa mahabusu muda mrefu kwa kesi za kubumba kabisa.
Ushahidi wa hayo ni kesi za sabaya ambazo zilifunguliwa kisiasa tu na imethibitika hivyo baada ya mahakama kuona katika kesi zote mbili ushahidi ulikua na utata au hakukuwa na kesi kabisa.
Ukiachana na kushinda kwa kesi hizo zote mbili bado DPP ameruhusu kufungua kesi nyingine kama zile zilizokwisha mkoa mwingine. Mwisho wa kesi hii nao hautakua tofauti sana na hizo nyingine kwani tuhuma zinafanana.
Kutokana na hali hiyo ipo wazi kabisa kwamba mahakama inatumika kama fimbo ya kuumiza Raia.
Na sio jambo jema kwa Jaji mkuu kuruhusu mhimili anao uongoza kutumika vibaya.
Jaji mkuu anapaswa kusimama kidete na kulinda heshima ya mahakama dhidi ya vitendo vinavyopelekea heshima yake kushuka kama hiki cha kutumia mahakama kuadhibu watu.
Mkuki mtamu sana kwa NguruweLeo kwa Sabaya mnaona ni kaonewa et kesi ya kisiasa mpaka manaitolea povu mahakama mmesahau nyie ndie wale mashabiki mnaoihamasisha mahakama kutumika kwenye kesi dhidi ya wapinzani wenu wa kisiasa. Mlikuwa mnatoa maneno ya kejeli dhidi ya kesi za kina Mbowe na Lisu n.k acheni na nyie muoneshwe inavyokuwaga na uchungu
Sukuma gang mmekwamaKwa mtindo huu unadhani zitakwisha??
Huyu DPP akiachwa ataendelea kufungua kesi kila uchwao ili kumkomesha tu.
Ole wako uletwe alafu unikute utajuta kuzaliwaTo be honest, mahakama na mfumo wa utoaji haki Tanzania ni takataka
Sabaya ni jambazi tu
Kuna siku wahanga wa Sabaya wanaweza kuamua vinginevyo ikiwa ni pamoja na kumshitakia Mungu.Kwamba sabaya kaonewa?[emoji848][emoji2827]
Hii Tanzania yetu ya ajabu sana.Kwamba sabaya kaonewa?[emoji848][emoji2827]